Recent content by Makanyagio

  1. M

    JamiiForums Tanzania North Korea yatishia kuigeuza nusu ya USA kuwa jivu na Kuizamisha Japan baharini

    Dogo ajaribu tuone. Marekani alishapeleka waandaji wa wavita, ilo panki litanyolewa kwa wembe bila maji:
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

    Hii ni hoja nzuri sana itapunguza sana kero, hata ya kujaza makaratasi kwenye vioo vya magari.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro wewe ni jembe

    Jibu hilo swali hapo unakimbikimbia nini? nani kaleta dharau
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi waisoma namba; TANESCO wakata umeme kwenye maghorofa ya Polisi Kurasini

    Wakate tu, ili unapomtoza mtu 30K hata kwa jambo la kutoa onyo kwa mdomo waone makali yake. Japo wao wamepewa onyo la cku 14 bado hawakutii bila shuruti. ss watii kwa shuruti. Msimeno wa chuma hukata pande zote, acha kabisa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kuna hii dawa Neragen 0758621518 ilitangazwaga sana kipindi cha nyuma na hiyo namba ndio ilikuwa mawasilino yao. jingine ni FITERAWA 0754411119 checki nao hao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Strictly no passengers, abiria hawaruhusiwi humu

    Kinachosikitisha hao unaowashauri hawapo umu ndani ya jamvi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Ndogo nimesoma historia ulioandika ila imekaa kama habari ya kutunga japo yaweza kuwa kweli. Kwa mujinu wa maelezo yako wewe ni Mkristo, kwa kawaida ndoa ya kikrito ina kiampo cha kuishi na mkeo katika shada na raha mpaka kifo kiwatenganishe. Uenda uliapa bila kumaaninsha. Changamoto za maisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Land Cruiser sio magari bora

    Swala sio uzito wa gari, pekee udereva pia ni ishu? we unakata kona na spidi 100 unategemea ni na hujui kulicontrol gari. Acha vitz paka tu anaweza kusababisha ajali mbaya inatehegemea dereva analiongozaje gari. Kama swala ni uzito ,boma mabasi ys abiria 65 yanaanguka kila kukicha utasema ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya mabasi yaendayo kasi DART ukomo wake lini?

    Baada ya uchaguzi ongeza na cku za kuapishwa rais
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wamenitumia meseji za Kampeni, Wamejuaje mimi naishi Kawe?

    Namba kupatikana sio ishu kabisa, huna marafiki, hulali nyumbani wako, serikali za mitaa hawana kuambuia? sasa unashangaa nini? mm nipo Arusha lakini Napata sms mm ww.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viwango vipya vya kodi ya ardhi

    Msaada kwenye tuta. Hivi karibuni Waziri wa Ardhi mh'wa Lukuvi alitangaza kushuka kwa viwango mbalimbali vya kodi ikiwemo ya ardhi (land rent) kwa 30%, nimekweda manispaa ya ilala leo kulipia kodi ya ardhi sikuona hilo punguzo kama alivyotangaza badala yake kuna waliopunguziwa 7% na wengine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania MasterCard vs. Visa: What’s the Difference?

    Kuku huyo huyo tofauti manyoya, VISA na Mastercard ni walewale ni branding tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya kigodoro kiashiria tosha nchi haina maadili na imejaa laana

    weka video tuone acha uongo, Tanzania hakuna wacheza uchi. Jadili maadili na sio dini, hakuna dini inayofundisha maadili mabovu lbabda freemason. Acha masikhara.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

    Ben ndio nani, tufahamishe zaidi hatumfahamu wengine
  15. M

    JamiiForums Tanzania PSPF, TRA, LAPF, TPA, GPSA Wanaongoza kwa udini

    sisi tusio na dini shirika letu ni lipi niwahi kabla nafasi hazijaisha?
Back
Top Bottom