Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo??? Chukua maganda ya nanasi chemsha yakiwa na uvuguvugu changanya na asali ya nyuki wadogo kunywa. Kunywa mara mbili kwa siku na ufanye ivyo kwa muda wa siku saba.
Mkuu na mimi nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Naomba ufafanuzi juu ya kiasi cha maganda ya nanasi unayopashwa kuchemsha,maji na asali naweka kipimo gani na pia unatakiwa kunywa kiasi gani kwa maana ujazo.
 
Mbona umesema Dawa nusunusu tu? hujasema maji kipimo gani? na hiyo Asali ya nyuki wadogo kipimo gani? Na unachemsha kwa muda wa dakika ngapi? Dawa uliyo toa haijakamilika jinsi ya utengenezaji.Wape watu uhakika vile ulivyo fanya wewe na ukapona.
 
Nilichukua maganda ya nanasi zima nikayachemsha kwa kutumia maji lita 1 na nusu nikayaacha yachemke mpaka nikapata glass 2.....baada ya hapo nikachukua asali nikaweka vijiko vinne kwenye ule mchanganyiko nikanywa asubuhi na jioni. So kwa siku nikawa natumia nanasi moja

N.B samahani kama maelezo yatakua hayajajitosheleza
 
Mkuu na mimi nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Naomba ufafanuzi juu ya kiasi cha maganda ya nanasi unayopashwa kuchemsha,maji na asali naweka kipimo gani na pia unatakiwa kunywa kiasi gani kwa maana ujazo.
Soma hapo juu nimemjibu mzizikavu
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
 
Nimetoka kumpeleka mama dispensary kwa ajili ya tatizo hilohilo.......nimetokwa elfu 95. Nimeomba diagnosis yake wamenigomea eti huwa hawatoagi.....nikanyong'onyea balaa.....
Kuna madawa mengi kapewa na sindano juu (5). Ngoja nirudi nikuorodheshee majina na ile sindano
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula

Kama dawa hizo hazikukusaidia nenda hospitali kapige X- ray ya Barium meal, kama xray ya barium meal haikuwaona wale wadudu basi piga ile X - ray ya kumeza mpira yani OGD Xray au inajulikana kwa jina la Endoscope (approxi 360,000/=) kwa kipimo ile ndio top xray ya ulcers, ndio itaona kuwa labda vidonda vipo ktk utumbo mpana/ Doudemum au laa baada ya hapo ndio utapewa dawa ya Heligo kit. Usipige xray ya Ultrasound hii xray haioni aina ya vidonda vya tumbo ila inaona gas tu
 
Dawa ni simple sana. Mimi nilisumbuliwa sana na hii gonjwa. Nilitumia madawa mengi ila sikupona. Baadaye ugojwa ukapona wenyewe.

Ila nilichofanya ni kuondoa vitu vilivyokuwa vikinipa stress. Nakumbuka kipind icho nlikuwa na patwa na hasira sana. Poa nlikuwa nampenzi ananisumbua sana. Baada ya kumuelminate nilipona na hata nakapunguza kuwa na hasira. Pia huu ugojwa unaweza ukautibu physiologically. Ni kiasi cha kuasume kama hauexist kwenye mwili wako.
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi

Kuna hii dawa Neragen 0758621518 ilitangazwaga sana kipindi cha nyuma na hiyo namba ndio ilikuwa mawasilino yao.
jingine ni FITERAWA 0754411119 checki nao hao.
 
Nimekuwa mgonjwa takliban miaka 3 najisikia tumbo likiwaka moto maumivu kifuani kuchoka kwumwamgongo mwilikukonda nk nimee zahanati malimbali mahospitar mbambali nishaenda nikapata dawa lakini spati nafuu kwa anae jua dawa msaada maaana bado napenda kuishi
Nipigie simu kwa namba hii: Dr. Saidi Lasso 0688 441 144 / 0752-712 550.
 
Nunua dawa ya Omeprazole, Gastrocide au nunua dawa ya Heligo Kit / ambayo kwa dose inauzwa 45,000/= hii dawa inauwa wale wadudu wa maambukizi ambao wapo ktk utumbo wanaitwa pyloric.
watu wengi wa vidonda vya tumbo wanalalamika kuwa hizi dawa haziponyeshi hii ni uongo. Hawaponi kwasababu hawafuati masharti. masharti yake baadhi ni:-
1. Usiwe na mawazo
2. Usiwe na hasira
#. Usinywe pombe, soda yenye gas, nyama choma, chipsi,maharage yani mbig zote za mikunde, chakula chenye viungo vingi, asprin, kupitisha muda wa kula. mimi niliumwa vidonga kwz miaka 7 lkn tangu 2005 hadi hii leo kila kitu nakula
Ni kweli magita, hata mimi nilikuwa na vidoda vya tumbo kwa mda mrefu ila nilipo pimwa nikapewa hizo dawa za heligo mpaka sasa niko powa
 
Back
Top Bottom