Makanyagio
Senior Member
- Jun 25, 2009
- 125
- 33
Msaada kwenye tuta. Hivi karibuni Waziri wa Ardhi mh'wa Lukuvi alitangaza kushuka kwa viwango mbalimbali vya kodi ikiwemo ya ardhi (land rent) kwa 30%, nimekweda manispaa ya ilala leo kulipia kodi ya ardhi sikuona hilo punguzo kama alivyotangaza badala yake kuna waliopunguziwa 7% na wengine imeongezeka. Ukiuliza unaambilwa hiyo ndio viwango vilivyowekwa kwenye system na wizara ukikomaa nao wanakuambia nenda wizarani. Niekwenda wizarani majibu hayo hayo. Kuna menye list ya viwango vipya vya kodi ya ardhi (2015/16 atutumie ilituone maana inawezekana tunlizwa kimtindo. Kwenye mtandao wa Wizara ya ardhi viwango vipya havijawekwa.
Pia Mheshimiwa Lukuvi kama up humu amvini au mhusika yeyote Wizara ya Ardhi tungefurahi kupata ufafanuzi, tafadhali.
Pia Mheshimiwa Lukuvi kama up humu amvini au mhusika yeyote Wizara ya Ardhi tungefurahi kupata ufafanuzi, tafadhali.