Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Sihitaji kuwa afisa usalama kujua kuwa kuna wahalifu wanazurura mitaani wakati macho na masikio ninayo.Usichanganye mambo mkuu. Kama umewahi kuwa Afisa usalama au ulinzi utanielewa.
Sihitaji kuwa afisa usalama kujua kuwa kuna wahalifu wanazurura mitaani wakati macho na masikio ninayo.Usichanganye mambo mkuu. Kama umewahi kuwa Afisa usalama au ulinzi utanielewa.
Mkuu ukisema """haki ya mtume """ unakusudia nini?Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Kati listi ya Bashite,ambayo kamanda aliwatia watu ndani,kuwapima kwa nguvu,kuwasachi nyumba zao,kuwa dhalilisha, kuwafedhehesha na komedi kedekede ,je kuna aliyekutwa na hatia na kuadhibiwa?
Nayaona yale yale ya Suleiman Kova,kelele nyingi mbele ya kamera za tv
Hapo kuna mtihani mkubwa ndugu ndo maana nataka anijibu ili nimpe nasaha kama ndugu yakehahaha kha! kuna watu mna maswali!
Aliyepewa tuhuma na RC wa DSM KUWA anayepokea rushwa ya wauza shisha ???Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Anamuogopa aliye fanya uhalifu mawingu tuNi raha sana vijana wa CHADEMA kusalimu amri
DSM hakuna uhalifu wala nini kimyaaa!!!!!
Utani wa nini sasa?
Kijana yupi na dharau ipi? si kila mtu humu anajuwa kila kitu. Funguka.