FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,896
- 43,782
Picha ni kama zinavyojieleza
Alafu hayo magari, nawahurumia akina dada wanaopanda hovyo hovyo hayo magari. Kuna dada mmoja nilisimuliwa story zake, kulkuwa na shida ya usafiri siku hiyo, akaambiwa kama ataweza kupanda lori yeye akakubali tuu. Humo kuna dereva na msaidizi wake na unajua hapo nyuma ya dereva kuna godoro limewekwa kama kitanda. Walimla threesome dada wa watu tena bila kinga. Baada ya muda dada wa watu kucheki afya yake haiko sawa, kupima ana virusi, so sad.
Akina dada shtukeni siyo kila gari unapanda tuu
Mkuu sahihisha kichwa cha habariPicha ni kama zinavyojielezaView attachment 352928View attachment 352929
Muongo huyo jamaa huyo dada alitaka yeye na hakuna kitu km hicho sababu km alifanyiwa hivyo angechukua number plate hilo lori lingekamatwa halafu hiyo gari ktk kadi seating capacity ni 2 km kamchukua huyo dada wakawa 2 sio kosa na hakuna sehemu imeandikwa jinsia ya kupanda na kutokupandaKinachosikitisha hao unaowashauri hawapo umu ndani ya jamvi.
Muongo huyo jamaa huyo dada alitaka yeye na hakuna kitu km hicho sababu km alifanyiwa hivyo angechukua number plate hilo lori lingekamatwa halafu hiyo gari ktk kadi seating capacity ni 2 km kamchukua huyo dada wakawa 2 sio kosa na hakuna sehemu imeandikwa jinsia ya kupanda na kutokupanda
Unachokisema ni kweli,lakini hawa wadada wa sasa (Screen touch 4G LTE) utawaeleza kitu gani wakakuelewa ???Alafu hayo magari, nawahurumia akina dada wanaopanda hovyo hovyo hayo magari. Kuna dada mmoja nilisimuliwa story zake, kulkuwa na shida ya usafiri siku hiyo, akaambiwa kama ataweza kupanda lori yeye akakubali tuu. Humo kuna dereva na msaidizi wake na unajua hapo nyuma ya dereva kuna godoro limewekwa kama kitanda. Walimla threesome dada wa watu tena bila kinga. Baada ya muda dada wa watu kucheki afya yake haiko sawa, kupima ana virusi, so sad.
Akina dada shtukeni siyo kila gari unapanda tuu