Recent content by makanga

  1. M

    JamiiForums Tanzania NAPE: Ipo siku wananchi watawapiga mawe viongozi kwa unyonyaji'

    mbona walianza na mkuu wa ufisadi JK walimpopoa na mawe mbeya!! au nepi hakuliona hilo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    Na hili nalo watasema chanzo ni CHADEMA!!!!!! wapeni vijana haki yao!!!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sitta na Mwakyembe kunguruma mbeya

    hawezi kurudi kyl cos ana ahadi nyingi na hajaanza kutekeleza hata 1!!wamempa jina a.k.a Mr PROMISE!!!!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa wajuta

    kazi mnayo!!! mtatafuta mchawi hadi mrogane ninyi wenyewe!!!!! chadema mwendo mdundooooooooooooooo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapi Prof. Kapuya?

    alikwisha Chukua Chake Mapema(ccm)!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa M/kti CHADEMA mkoa wa Mbeya waahiriswa

    magamba!!! kwa taarifa yenu mmeshindwa mlango wa kutokea!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa atakiwa kutoa Uthibitisho wa Madai yake Bungeni leo

    we kilaza au ulizaliwa kwa bahati mbaya? uanataka nidhamu ya namna gani? au tuwalambe hao vilaza wenzio(magamba) miguu yao ndio uta jua tunanidhamu!!! na hilo ni trera bado picha yenyewe!!!!! aluta continua pastor msigwa!!!!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa M/kti CHADEMA mkoa wa Mbeya waahiriswa

    Kutokana na hujuma ambazo baadhi ya wagombea walizokuwa wakizifanya, na hivyo taarifa hizo kupelekwa makao makuu ya chama taifa hivyo maamuzi yaliyokuja ni kuwa uchaguzi usitishwe hadi hapo taarifa nyingine itakapotangazwa! Hivyo wanachadema mbeya tuwewavumilivu na makini kwa hili
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea uenyekiti CHADEMA (Mbeya) akimbia mdahalo!

    indicators za magamba zimeshaanza kujitokeza kwa baadhi ya wagombea wa nafasi ya m/kiti chadema mbeya!! Mmoja wa wagombea anayejiita ''mzee wa upako''(john mwambigija)alikimbia kwenye mdahalo ulioandaliwa na chama ili wagombea hao waweze kujinadi lakini huyo bwana aliingia mitini. angalizo kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe bado mpo kwenye utafiti?

    kamanda umenena,kwa sababu waajiri wake ni sisi (wananchi wa kyela) hivyo kauweka sisi kama vilaza!!! mwakyembe............ tafakari...........chukua hatua!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe bado mpo kwenye utafiti?

    hatudanganyiki tena!!mwambie huyo mbunge akamuulize mwakipesile kilichomtokea, naye alipendwa sana ila aliondoka kama mbwa! bado yeye!! mwaka 2015 jimbo linaenda chadema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe bado mpo kwenye utafiti?

    sio kwamba namhukumu ila yeye mwenyewe alisema kila kitu kimekamilika hivyo bado ujenzi tu.hivyo atueleze kama katika bajeti fedha zimetengwa au tuendelee kumuita ''mr promise''!!!!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa m/kiti chadema mkoa wa mbeya.

    kweli kamananda tupo pamoja tutashinda ila tuchukue taadhari mapema!!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa m/kiti chadema mkoa wa mbeya.

    uhai wa chama mby utaletwa na wanambeya wenyewe!!!!!!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe bado mpo kwenye utafiti?

    Wakazi wa kyela naomba sana mchango wenu kwni hiyo barabara inatutesa na ikumbukwe kuwa kyela hatuna barabara yoyote iliyojengwa kwa kiwango cha lami tangia tumepata uhuru (miaka 50), hivyo ni haki nawajibu wetu kudai hiyo bara bara!!!!!! tafakari, chukua hatua!!!!
Back
Top Bottom