CHADEMA sasa wajuta

Nafuatilia kwa karibu sana mahusiano ya CHADEMA na Taasisi za nje. Zitto Kabwe, Naibu Katibu Mkuu wa CDM amenufaika katika mafunzo ya uongozi aliyokuwa akichukua huko Ujermani. Mahusiano na Konrad Adenauer Stiftung yamekuwa baina yake na CHADEMA, Zitto akiwa kama mwakilishi wa CHADEMA wakati akiwa mwanafunzi huko. Hakuna usiri wowote katika hili.

Rais Mstaafu wa Ujermani, Dk. Horst Kohler, ambaye pia ni mkurugenzi wa KAS, alipotembelea Afrika Mashariki wiki iliyopita alihutubia mkutano wa wadau wa East African Community, akiwepo Katibu Mkuu mpya wa EAC anayetokea Rwanda na Mzee Edwin Mtei, aliekuwa Katibu Mkuu wa mwisho wa EAC iliyovunjika mwaka wa 1977. Mzee Mtei pia ni Muasisi wa CHADEMA na alipata fursa ya kuzungumza na Horst Kohler. Viongozi wa CHADEMA kitaifa walikutana na Dk. Kohler kabla ya yeye kukamilisha ziara yake, na niliona picha yao katika gazeti moja la hapa nchini; ikidhihirisha hakukuwepo na usiri wowote.

Huko kujuta kwa CHADEMA, au usiri wa kuwa na mahusiano na taasisi ya KAS unatoka wapi? Kama hii taasisi ya Ujermani itatoa mafunzo kwa vijana wanaCHADEMA hakuna sababu ya kiongozi yeyote kujuta. CDM itaimarika tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Kutokana na mambo na watu kama hawa,huwa najiuliza ni kivipi Islam is a religion of Peace kama ambavyo huwa wanadai,kwamba Islam means peace.Ushahidi wa hali halisi unapingana na hilo.Hata sasa kuna utaratibu mpya umeanzishwa kwa ndege zote zinazoenda Saudi Arabia hutakiwi kuwa na bible wala article yoyote ambayo si ya kiislam..Yani ni visa kila kukicha.Ni mambo mengi sana ambayo wakristo wanafanya ili kuweza kuishi side to side na ndugu zao waislam.Hata nakumbuka kwenye sherehe mitaani,kama ni ya mkristo,basi mchinjaji wa either mbuzi ama ng'ombe lazima ataitwa Muislam ili sherehe ifurahiwe na wote.Utamaduni tuliokuwa nao ni wa kuheshimiana.Kama alivyosema member mmoja anayeitwa Shimbalanga kwenye ile thread nyingine ya propaganda za chuki ya "Ukatoliki wa CDM."

Inawezekana kizazi cha sasa cha waislam hakiwezi kuishi na wenye dini za tofauti.Maybe sasa matunda ya Bin Laden yanafanya kazi.Maana jamaa alianza kuinvest kwenye chuki toka zamani sana.Na walikuwa smart sana kwani wamepita literally in every maddrassas and mosques kupreach hatred dhidi ya non believers,wamehakikisha kwamba kizazi kipya cha waislam kitakuwa ni chenye chuki tu.Ujumbe ni mmoja,vita dhidi ya "Infidels"

Na hawa Mujahedeen wa Tanzania wanatupeleka kubaya.Pia huwezi kuweka thread na kudai eti kulikuwa na kikao cha siri cha kikrsto ndani ya CDM na ndiyo maana kinakufa kwa wananchi kukiacha.Sasa kama ni kweli wananchi wanajuwa hayo,wapi huo ushahidi?Ya kwapi wanayoyajuwa wananchi ili na sisi tuyajuwe?Hakuna lolote mleta mada aliloweka lenye kuonyesha hayo wananchi waliyoyaona ambayo wameaminishwa kuwa CDM ni chama cha kikatoliki.Kama ni issue ambayo mpaka wananchi wanaifahamu na wameiacha CDM,how come umeshindwa kuweka huo ushahidi unaojulikana na wananchi ambao umewajutisha chadema?
 
Mujahedeen wa Tanzania!ndiyo maana vitoto vinafundishwa karate kwenye baadhi ya madrassa!! Hii kitu inaelekea ina baraka kutoka kwa mkulu mwenyewe ndiyo maana jamaa hata hawadhibitiwi!
 
Mnatafuta pakutokea umeme umewashinda cdm inapaa na post ambayo haina kichwa wala migugu kweli nimeamini siku ya kufa nyani miti yote huteleza kwa ushauli mdogo tu mkitaka muwe kama cdm ya sasa ambayo inamvuto kwa kila rika tatueni matatizo ya wananchi na tekelezeni ahadi ambazo mnahaidi kila kukicha.
 
Dont talk without research, zitto ni muislam, mbowe ni mlutheri, prof aliyetoka CUF akahamia cdm ni muislam.
..............sikila mtu anadanganyika wakati huu............sio enzi za nyerere.........1+1=1
 
  • Thanks
Reactions: LAT

Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.

kazi mnayo!!! mtatafuta mchawi hadi mrogane ninyi wenyewe!!!!! chadema mwendo mdundooooooooooooooo!
 
We Madaya kama una watoto au marafiki au ndugu wanaotumia akili zao vizuri wakijua unaandika upupu kama huu watakudharau
 
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema imekuwa imeshutumiwa kuwa ni chama cha kidini huku viongozi wake wakijaribu kuzitetea siri hizo zilizo katika uvungu wa kapeti.sasa siri hizo zimefichuka nahivyo wafuasi wake kuanza kung'amua na hivyo kukata tamaa na chama hicho kilchoaminiwa kama cha kitetezi huku kikijificha.Na sasa viongozi wa chadema wanajilaumu kwa kufanya kikao hicho kilichofichua siri.

hauwezi kuwa hutumii ugoro na kangara!
 
Utamaliza chaji kijana kwa kuifuata fuata Chadema,umeme maji na umasikini uliokuthiri kwa wananchi vimeishinda ccm na Serikali yake,jitahidi kuitetea labda itasaidia japo ni kitu sawa na bure 2015 tutaichukua Tanzania yetu
 
@Madaya, no where to hide mate - please see below:

1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
27.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
28.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
29.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
30.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
31.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
32.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
33.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
34.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
35.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
36.Kulinda haki za walemavu - Makete
37.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
38.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
39.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
41.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
42.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
43.Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
44.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
45.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
46.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
47.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
48.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
49.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
50.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
51.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
52.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
53.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
54.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
55.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
56.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
57.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
58.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
61.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
62.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
63.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
64.Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
65.Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
66.Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
69.Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
 
nakushangaa ,kijana kukiita chama cha ukombozi wa Watanzania kuwa cha kidini, Unafaidika na nini na CCM, au baba yako ni mmoja wa mafisadi, au mafisadi wamekuonga uje utuharibie jammiforum yetu, sikiliza kijana usipo zinduka muda huu ,utakuwa unawasindikiza wakina Ridhiwan,January Makamba, na Hussen mwinyi, zinduka ndugu yangu ,tuwaokoe watanzania wote, nchi ni ya watanzania wote, sio ya vigogo wachache na watoto wao, zinduka ndugu yangu!!
 
chama cha magamba ni cha kichawi.nani anabisha? tuacheni na udini wetu muonne tutakapofika
 
Hiyo serikali ya CDU ya ujerumani imechangia bajeti ya Seriali ya Kikwete. Mbona serikali haijakataa. Wakristu wa kweli wa ulaya wana hesmimu sana uhuru wa watu kuabudu hata wakiwa na imani tofauti na wao .Ndio maana Kuna waturuki wengi sana ujerumani.

So kama wewe imani yako haipendi na haieshimu kushirikiana na watu wa imani nyingine usidhani basi na CDU wako hivyo.

Usishangae na wala usiogope kwa CDM kushirikiana na CDU.

Je wangeshirikiana na chama cha sarkozy wa france amabacho si cha kidini lakini kinachopinga hijab ungesemaje?
 
Uongozi na uzushi mwingi utasemwa kuhusu Chadema lakini ukweli ni kwamba ni chama pekee tegemeo la watanzania kwa sasa. kinasubiriwa ni kupewa tu rasmi uongozi wa nchi hii baada ya wasanii kumaliza muda wao.
 
Join Date : 13th June 2011
Posts : 15
Thanks:0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0

Jamani naomba kufahamishwa hivi watu wa namna hii wanafananafanana je?
Au ni member tu wa siku nying humu JF walioishiwa maanake mi huwa sielewo. Jitu ndo limejoin alfu thread linayoanzisha utafikiri (ashakumu si matusi) limekufa kichwani!
 
Back
Top Bottom