Uchaguzi wa m/kiti chadema mkoa wa mbeya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa m/kiti chadema mkoa wa mbeya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makanga, Jun 14, 2011.

 1. m

  makanga Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa m/kiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambalala(gamba jipya) unafanyika tarehe 20/06/2011.hivyo wawakilishi wetu kwenye uchaguzi tunaomba msirudie kosa mchagueni mtu ambaye ni 1.muadilifu 2.mwenye uzalendo kwa chama 3. mtu ambaye hataleta mgawanyiko katika chama 4.mtu ambaye anaweza kuunganisha mabaraza yote ktk mkoa 5.mtu mwenye maono 6,mtu anayezingatia haki za kila mwanachama 7. awe na busara 8.na zaidi asiwe kibaraka wamagamba(ccm).Hivyo basi mtu yeyote mwenye cv za wagombea wetu tunaomba kwa mara nyingine atuwekee jamvini ili tuanze kuwachuja humuhumu kabla hawajatuharibia mambo.Tunawatakia maamuzi mema mnaoenda kuchagua viongozi. ONYO:Rushwa ni adui wa haki hivyo haki itendeke!!!!!!. Nawasilisha.
   
 2. m

  makanga Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wajamvi hasa mlioko mbeya tunaomba mchango wenu sana hii ni kwa manufaa ya chama chetu!!!! tusirudie kosa tena!!!!!peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!: poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!1
   
 3. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha! hiyo imetulia lakini wajue kila kona magamba yanawavizia!
   
 4. Mbaneingoma Zom

  Mbaneingoma Zom JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda tuna kushukuru kwa kutujuza kuhusu uchaguzi wa Kiongozi wetu huko Mbeya. tunawaomba wana Mbeya wajitokeze kwa wingi katika zoezi zima ili kupata kiongozi mzalendo ambaye hatakuwa tayari kununuliwa na magamba.
   
 5. m

  makanga Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uhai wa chama mby utaletwa na wanambeya wenyewe!!!!!!
   
 6. J

  JikeDume Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauri wa bure tu kwa mbowe asiingilie uchaguzi huu,
  jamaa anasemekana natengeneza mtandao wa watu watakaomlinda katika uchaguzi wa chama ujao na katika baraza kuu la chama, jamaa ameamua kukaidi utaratibu wa chama wa kukaa miaka kumi na kuachia ngazi, sasa yeye anataka kuendelea miaka mitano tena jamani wale wote wenye nia njema na nchi hiii wamuombe mbowe asimtumie slaa kama alivyomtumia kwa vijana bavicha.....eti mazingira ya rushwa, yani wakishindwa watu wa mbowe tu ndio mazingira ya rushwa yanaonekana....slaa uwe macho sana....
   
 7. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa nini kwa Mbowe tu!na humsemi Zitto,kwa taarifa Mbeya hatuna Mbowe wala Zitto,tuna CHADEMA!
   
 8. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi upo na wagombea 11,wamerudisha form,kiukweli bila kuficha,kuna wagombea ambao wanatoa rushwa,na wapo ambao kuna mkono wa Magamba,kiukweli tunatakiwa kuwa makini lakini MUNGU ATATUSAIDIA TUTASHINDA
   
 9. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mkuu jambo la msingi ni kusimama kidete kama una uhakika na tuhuma za rushwa sema hata kuwataja wahusika ila siyo kwa unafiki jambo jingine ni kuwaomba wapiga kura kuangalia uhalisia wa mtu ktk kukijenga chama mkoani Tafadhari sana wapiga kura msituangushe ' MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI MBEYA, MUNGU IBARIKI CHADEMA FOR PEOPLE'S POWER
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkifanya vizuri uchaguzi huu, mtachukua majimbo yote ya Mbeya 2015, kama mlipata mawili wakati gamba Shita lilikuwa ndani ya CDM basi mjue mna nguvu sana na mnakubalika. Nawaombea Heri.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Shitambala alaaniwe, ametufanyia matatizo!
   
 12. m

  makanga Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli kamananda tupo pamoja tutashinda ila tuchukue taadhari mapema!!!!!!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  TAKUKURU wapo wapi??
   
 14. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tuko makini sana na hilo,sina unafiki majina ya watoa rushwa na ushahidi vimetumwa makao makuu,na taarifa niliyonayo sasa,uchaguzi umeharishwa kwa uchunguzi wa tuhuma hizo,
   
 15. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anasema ameondoka Cdm lakini ataikumbuka,anatamani kuvaa magwanda anagopa kutukanwa njiani,
   
Loading...