Mgombea uenyekiti CHADEMA (Mbeya) akimbia mdahalo!

makanga

Member
May 28, 2011
26
1
indicators za magamba zimeshaanza kujitokeza kwa baadhi ya wagombea wa nafasi ya m/kiti chadema mbeya!!

Mmoja wa wagombea anayejiita ''mzee wa upako''(john mwambigija)alikimbia kwenye mdahalo ulioandaliwa na chama ili wagombea hao waweze kujinadi lakini huyo bwana aliingia mitini. angalizo kwa wapiga kura dalili za mvua ni mawingu,''mungu hutumia matendo yamtu kuonesha tabia yake''. na zaidi ni miongoni mwa wagombea wanaodiwa kutoa ruswa.

Hivyo wakazi wa mbeya tuwe makini maana tukishindwa kuitumia hii nafasi vizuri tutajuta.. so tafakari ................chukua hatua!!!
 
sipo mby kwa sasa,lakini john mwambigija ninayemfahamu mimi si mtu wa kukimbia mdahalo,labda kama kuna sababu nyingine,nitafanya0utafiti.
 
sipo mby kwa sasa,lakini john mwambigija ninayemfahamu mimi si mtu wa kukimbia mdahalo,labda kama kuna sababu nyingine,nitafanya0utafiti.
kwa sababu hauko mbeya inawezekana humfahamu Mwambigija.huyu jamaa kakimbia mdahalo,na hafai kuwa m/kiti Mkoa,hata wa wilaya HAFAI!
 
Nafikiri mtoa hoja ana maslahi kwa wagombea wengine na Huyu Mwambigija ni tishio kwake.

Naomba utueleze ni sababu gani alizozitoa zilizomfanya asihudhurie mdahalo. Tupe hizo sabu na sisi tuzichuje kabla kuanza ktoa tuhuma.
 
Back
Top Bottom