Uchaguzi wa M/kti CHADEMA mkoa wa Mbeya waahiriswa

makanga

Member
May 28, 2011
26
1
Kutokana na hujuma ambazo baadhi ya wagombea walizokuwa wakizifanya, na hivyo taarifa hizo kupelekwa makao makuu ya chama taifa hivyo maamuzi yaliyokuja ni kuwa uchaguzi usitishwe hadi hapo taarifa nyingine itakapotangazwa!

Hivyo wanachadema mbeya tuwewavumilivu na makini kwa hili
 
hiyo safiiiiiiiiiiiiiii!!!! Hakikisheni Wamagamba hawapenyi. Wakipenya twafa!!!
 
Magamba watapata shida kweli kweli mwaka huu. Za mwizi Arobaini mitego yao imekifia ukingoni.
 
Back
Top Bottom