Ni vitu au mambo ya kuwa navyo ktk kipindi au mda usika kwa mfn mtoto anamda na nguvu nyingi lkn kijana au mda kwake ni mfinyu sana mana mambo yamekuwa mengi kila akiangalia mda anaona km vile aimtoshi lkn pesa na nguvu anaweza kuwa nazo za kutosha,ktk umri wa uzeeni nao pia mda na pesa...
Tambua kitu ukishatumia akina dhamani tena ndo mana walimwacha wakiitaji kupata wapya mana kaishiwa pozi wamemchoka.Aliezoe chakula cha mama uamini akuna anaejua kupika zaidi ya mamake na cku akionja kwa jirani ndo atajua kumbe wapo ndo mana
Kwani ye alipoenda kupima daktari amemwambia ni ndo tunaweza sema ni kweli au co mana ukisema hana amani lbda daktari ndo kamwambia ivyo na kwa vigezo gani
Big up sana mkuu wanawake ni walewale awafikirii ya kesho anaona amefika apo na ukiona ivyo jua kuna boya anamiliki kikubwa na kusepa na kufata yako kwani ye ndo wa kwanza kwako?km ye itakusumbua sana mi namini wapo wengi wenye sifa nzuri ata zaidi yake komaa na maisha mwanamke asikuchanganye akili
Kibaya ni kwamba kila aliepo madarakani anawaza akitoka ataonekanaje na atakuwa na nini ndo mana pesa aziwezi onekana ebu tujiulize duniani Tanzania ndo inaongoza kwa kutoa madini ya tanzanite lkn Kenya ndo inaitangaza Africa mashariki South Afrika ikiongoza Afrika mzima je c tupo wapi na faida...
Serikali inaisi kuendesha wizara zote ni Sawa ebu tufikirie nini mana ya serikali kusema elimu bure ili kupunguza idadi ya wasomi na hata ao wachache ni bora wasomi km mitaala inabadilishwa kila siku ili wajinga ndo wawe wengi.lkn mengne tunaweza ilaumu mtu kumbe anaongozwa na mwingne kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.