Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
Salaaam sanaa wana JF awaliyayote napenda kumshukuru mungu kwa kutujalia afya na uzima
Niliwahi kuleta mada ya mtu wangu wakaribu aliwahi kwenda Hospital kupima hiv kipimo cha kwanza hambacho ndio mara nyingi huanziwa kupima HIV kilisoma mistari miwili lakini cha pili ambacho wanaita cha kuthibitisha kilisoma mstari mmoja tu hivyo
Nikaleta uzi kwa ajili yaushauri wengi wakasema akae kwa mda apime tenaa sasa imepita miezi 3
Leo kaenda kupima tena kipimo cha kwanza kimesoma mistari miwili na chapili chakuthibitisha kimesoma mstari mmoja
Tafadhali wataalamu naombeni mumsaidie je atakuwa na HIV au atakuwa na efecktion zingine ??
Kwani anaishi kwa mashaka sanaa nahajui awe kundi la positive or negative
Naombeni ushauri wenu wataalamu
Ahsnteni