Recent content by makalanga20

  1. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa viongozi wa CHADEMA huu hapa

    Mimi akili ya kufikiri nimeipa likizo mpaka pale CCM itakapo kufa ndio naanza kufkili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Hamphrey Polepole wauponda UKAWA

    Haohao Mafisadi na wala rushwa ndio nitawajachua n bora kuchangua hao kuliko MACCM yaliyo tia umasikini taifa hli kwa miaka 50. Tena mwaka huu n bora tuwape hao ili mabadiliko yatokee katika mfumo wa kinyonyaji wa MACCM.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Agustino Mrema atimuliwa TLP

    Hv ww mbowe alikuchukulia mke mbona kila post yako bila kumtaja mbowe una kuwa haujalizika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania ZITTO: Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR Mageuzi

    Yuda katika ubora wake tena eti alitaka kujiunga na NCCR ila matatizo ya hapa na pale ikashindikana. N kweli ilishindikana baada ya kafulila kushidwa kumpindua mbatia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM Tabora kimenuka!

    Acha majambazi yamalizane yenyewe kwa yenyewe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Whatsapp calling activation

    pamoja sana farijiel ipo fresh imakubali
  7. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Members Vs. TWAWEZA Tutafute Ukweli

    Dr Slaa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    24% ya wafuasi wa CCM wamesema watampigia kura yeyote atakayeteuliwa na chama maanake ni utafiti wa wana ccm .Mbona wafuasi wa vyama vingine hawakuojiwa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi mtandao wa Vodacom

    Tatizo kaka voda wana kata hela hata kama una tumia simu ya touch. Na ukuwauliza hawana majibu ya kulizisha sasa hapo kwa nn watu wasilalamike.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo Kikuu anapocheza 'gemu' kwenye kompyuta!

    Kwani kuna tatizo jamani kucheza game.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujitoa kwenye Dhuluma za Vodacom

    Huu mtandao kwa kweli ni wa kiuni tyu me mpaka sasa siweki salio maana nimeweka maranyigi wana kata salio afu ukiwaliza wana toa majibu mepesi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Majabu yanayofanywa na chuo kikuu cha ST. Joseph Ruvuma Songea

    Kaka upo sahihi kabisa kati ya vyuo vibofu chuu hiki n cha kwanza unajua hawa WAHINDI. wapo kwa ajili ya pesa mfano mnzuri chuo cha IMTU N hawahawa wahindi wana toa elimu ya kubabaisha. Cha kushangaza IMTU wamekishungulikia ila hichi cha Ruvuma hata kuguswa wameshida NB. Serikari isipo kuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania St.joseph wahindi wapigana wao kwa wao

    Hawana kabixa wapo kimasilai zaidi wanatunia mgogo wa dini kuchuma pesa
Back
Top Bottom