Zitto na Hamphrey Polepole wauponda UKAWA

Zitto na Humphrey wako sahihi Lowasa amebadirisha NDIYO yake katika katiba inayopendekezwa? Je dhamira yake na ya Ukawa vinafanana? Na kama vinafanana au wakubaliana vifanane ni nani amejishusha au kujikweza kuendana na mwenzake? Je ni mazingira yapi walioweke commitment ili mtu hasiweze kukengeuka?
 
Zitto hajui anachofanya na uzuri chadema wamempuuza..By the way alishamaliza ku sort out ile issue yake na Diva?
 
Chadema ni chama cha kifisadi na wala rushwa ni kundi la watu wanaofanya biashara kupitia siasa hawafai kama gonjwa la ukimwi.

Haohao Mafisadi na wala rushwa ndio nitawajachua n bora kuchangua hao kuliko MACCM yaliyo tia umasikini taifa hli kwa miaka 50. Tena mwaka huu n bora tuwape hao ili mabadiliko yatokee katika mfumo wa kinyonyaji wa MACCM.
 
Chadema ni chama cha kifisadi na wala rushwa ni kundi la watu wanaofanya biashara kupitia siasa hawafai kama gonjwa la ukimwi.

Kapime malaria kabla haijapanda kichwani! Sifa zote za CCM hizo.
 
Kutetea ufisadi na mafisadi inatakiwa uwe na roho ya kifisadi pole vijana wa mafisadi kwani huoni aibu kutetea mafisadi papa?

Kuna mafisadi kama CCM wote wapigaji? inashangaza kwa kijana kutetea CCM. We need changes bana we kama unapokeaga zile elfu 7 sijui 9 tulia! Wale tembo ilikuwaje? Twiga wanapopanda ndege? zile cocain za mtoto wa mwenyekit wenu kesi iliishia wapi? Stop rubbish myfriend changes has to take place.
 
Kutetea ufisadi na mafisadi inatakiwa uwe na roho ya kifisadi pole vijana wa mafisadi kwani huoni aibu kutetea mafisadi papa?

Na kutetea CCM lazima uwe juha, maana unataka kuwaaminisha watu kuwa fisadi ni Lowassa na ufisadi wa serikali ya CCM kaondoka nao Lowassa lazima uwe chizi.
ESCROW waliochukua hela kwenye viroba mfano mmoja alikuwaLowassa? Hebu peleka ujinga wako watanzania wa sasa siyo wajinga
 
Chadema ni chama cha kifisadi na wala rushwa ni kundi la watu wanaofanya biashara kupitia siasa hawafai kama gonjwa la ukimwi.

Kwahyo ccm ndo kisafi?nakwatalifa yako simiyu kwa sasa ni ukawa.afu ccm mna shangaza alipo kuwa kwenu kmya kaja ukawa kawa fisadi kvp?minazan Wa tz tuache unafik ukawa oyeee
 
Tukiachilia mbali ushabiki wa vyama UCCM, UCDM, UCUF & UKAWA. Hebu angalia tiktaka zinavyochezwa na chama tawala! ni nyingi kwa mwenye akili timamu ni muda wa kupeleka kura upande wa pili ili tuone mabadiliko!
 
MUUNGANO wa vyama vinne vinavyoshirikiana katika Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), umejikuta ukikumbana na upinzani unaoshika kasi nje ya muungano huo, wakati ukikabiliana na sintofahamu inayoendelea ndani yake, huku viongozi wake wakilalamika kuhujumiana wenyewe kwa wenyewe.

Juzi, Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Hamphrey Polepole, badala ya kuunga mkono umoja huo unaojinasibu kutetea Rasimu ya Katiba iliyotengenezwa na Tume hiyo, alielezea kushangazwa na Chadema kukubali kuondoka kwa misingi ya kupambana na rushwa, na kumtangaza mgombea urais, ambaye kilimtuhumu kwa kadhia hiyo.

Mbali na Polepole, Kiongozi Mkuu wa ACT –Wazalendo, Kabwe Zitto, akizungumza mkoani Morogoro, alitaka Watanzania waunge mkono wagombea wa chama hicho, kwa madai kuwa vyama vinavyounda Ukawa, vimebadilika ghafla kutoka kuwa mstari wa mbele kutetea wanyonge na kugeuka kukumbatia ufisadi, huku CCM ikituhumu umoja huo kwa kughushi kadi zake.

Polepole Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Mada Moto’ kilichorushwa hewani na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten juzi usiku, Polepole alisema chama hicho hakikupaswa kukimbilia kumpokea Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, kwa kuwa kilitumia kete ya umaarufu wake kisiasa kumshutumu kuwa hafai.

Alisema, Chadema ni taasisi ambayo ina misingi yake, hakuna mtu anayepaswa kuivuruga kwa nia ya kutaka kumfanya mtu mmoja anufaike na chama hicho.

“Chadema wana misingi yao ambayo hakuna mtu anayepaswa kuivuruga. Kwa maana nyingine misingi hiyo ni sawa na imani ambayo haibadiliki kutoka katika msingi wake, hivyo walichofanya nawashangaa,” alisema.

Mjumbe huyo wa Tume hiyo ambayo ilikuwa chini ya uenyekiti wa Jaji mstaafu, Joseph Warioba, alisema hata upande wa Lowassa na wana Chadema wanapaswa kujiuliza iwapo ujio wake ndani ya chama hicho una manufaa mapana yenye malengo ya kuendeleza misingi iliyowekwa au wanafikiria kushika dola pekee.
Alisema waziri mkuu huyo wa zamani amekaribishwa Chadema ambacho kinaunda Ukawa, akiwa tayari ameshiriki kuiunga mkono na kuipitisha Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, wakati Ukawa wenyewe wanaipinga, hivyo kilichompeleka ni msukumo wa kuingia madarakani na siyo Katiba inayotetewa na umoja huo.

Alihoji kama kweli kifikra mgombea huyo anarandana na mawazo ya wale waliomkaribisha, wakati wao wamekuwa wakihubiri kile kilichomo ndani ya Katiba Iliyopendekezwa na Tume, ambayo msimamo wake ni serikali tatu wakati Lowassa alipiga kura na kuunga mkono uwepo wa serikali mbili.

“Ukisikiliza wanasema tunataka kuing’oa CCM, hiyo ndio mada kubwa. Huyu ndio anaijua CCM, mimi nauliza hivi sisi tuna mtindo wetu wa kufikiri, tuna mtindo wa kufanya mambo yetu ili yaende? Hivi leo mnampata mtu mwingine ana itikadi nyingine anakuja, kiitikadi hilo haliwezekani. “Hivi unadhani Ukawa ina uhalali wa kusema inapambana na ufisadi ilhali inafahamu Lowassa, Membe na wengine walisimamishwa na Chama Cha Mapinduzi kwa kufanya rafu? Hivi ninyi mna uhalali leo tena wa kumyooshea mtu kidole?” Alihoji.

Alisema aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, ana siri nzito moyoni kwa kuwa haiwezekani kiongozi huyo kuwa miongoni mwa waliomkaribisha Lowassa na siku chache akaamua kujiondoa kabisa madarakani.

“Mimi nasema, na nataka niwaambie waandishi wa habari mheshimiwa Lipumba ana siri kubwa...”alisema mjumbe huyo ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya siasa nchini.

Zitto Naye
Zitto akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Morogoro Mjini, mkoani humo juzi aliwaomba Watanzania wakiwemo wakazi wa mkoa wa Morogoro kuunga mkono chama chake kwa kuchagua madiwani, wabunge na rais ili kipate uwakilishi kwa lengo la kuwatetea watu wanyonge.

Alisema ACT-Wazalendo, ndio chama kilichobaki katika kuendelea na misingi yake imara ya kutetea wanyonge, baada ya kutokea mtikisiko wa vyama vya siasa vya upinzani, hasa vinavyounda Ukawa.
Kwa mujibu wa Zitto, vyama hivyo vya Ukawa vimebadilika ghafla kutoka mstari wa mbele wa kutetea watu wanyonge, na kugeuka kukumbatia ufisadi, kinyume na msimamo wao wa awali na matarajio ya wananchi walio wengi.

“Ndugu wananchi wa manispaa ya Morogoro, chama hiki sasa ndiyo kimbilio lenu, hakijabadili misingi yake iliyojiwekea ya kupambana na ufisadi... Tunalo azimio la Tabora tulilohuisha kutokana na Azimio la Arusha na moja ni kila kiongozi lazima atangaze kwa kuorodhesha mali yake,” alisema Zitto.

CHANZO:Habarileo.

USIWE na WASIWASI..mwenye macho haambiwi tazamaa!....

UKAWA tupo NGANGARI tena ngangari kinoma!!!

KURA za UKAWA ni nyingi mnooo...hata wapinge kwa mtutu wa bunduki....fikira za watu ni mpya kabisa......

watanzan
Tangu uhuru chama tawala ni CCM....rushwa...CCM....Uchumi tegemezi...CCM...ujinga...CCM...maradhi...CCM....umaskini....CCM....ushirikina...CCM....ubadhilifu na ufisadi wa kila aina.. ni mazao ya utawala dhalimu wa chama cha mapinduzi...kila kitu wamepindua..elimu..kilimo...ardhi...masoko...viwanda...maadili...

hakika october 25 mwaka huu watanzania wataishangaza Dunia ya wana CCM wasiokubali wala kuamini mabadiliko.....
 
Isomeke... "UKAWA na wafuasi wake wauponda mfumo wa utawala uliopo"
 
USIWE na WASIWASI UKAWA tupo ngangari...tena ngangari kinoma..!!!

watanzania wanajitambua na kwenye hili
mwenye macho haambiwi tazama!.

Tangu uhuru chama tawala ni CCM....rushwa...CCM....Uchumi tegemezi...CCM...ujinga...CCM...maradhi...CCM....umaskini....CCM....ushirikina...CCM....ubadhilifu na ufisadi wa kila aina.. ni mazao ya utawala dhalimu wa chama cha mapinduzi...kila kitu wamepindua..elimu..kilimo...ardhi...masoko...viwanda...maadili...

hakika october 25 mwaka huu watanzania wataishangaza Dunia ya wana CCM wasiokubali wala kuamini mabadiliko.....
 
Mchumia tumbo yeyote wa ccm,
Hawez kufagilia moto wa ukawa,

Sasa bas muondoke tu,
Waingie ukawa kama nao
Watakuwa hawaelewek tutabadil tena,
Lkn ccm sasa basi.
 
Nagikiri makamanda tunahitaji kutulia na kufikiria kwa kina tunapotaka kufanya maamuzi. Hata tunaposoma threads za wenzetu humu JF tunahitaji kutafakari kwanza. Nasema hivi kwasababu naona wengi wanajibu kishabiki tu bila kuangalia ukweli wa mambo. Mimi ni kamanda wa Chadema na Katiba ya chama (Cadema) naifahamu sana, huwa naisoma mara kwa mara na baada ya kuielewa niliamua kujiunga na chama hiki.
Chadema kumpokea EL siyo kosa ila kosa ni kumpa nafasi ya kugombea ukuu wa kaya.
Makamanda tutambue kuwa haja ya Chadema/Ukawa kuiondoa CCM madarakani ni kwenda kufanya kazi za wananchi kadiri ya sera za Chadema zilivyo. Na mambo muhimu sana tunayotarajia serikali ya Chadema/Ukawa itasimamia ni:
1.Kuzuia kabisa rushwa,
2.Kuhakikisha matumizi sahihi ya rasilimali za Taifa,
3.Kuhakikisha kuwa Serikali itakayoundwa haijiingizi kwenye mikataba ya kifisadi,
4.Kuzuia matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi mbalimbali,
5.Kutekeleza sera nzuri ya kilimo ya Chadema,
6.Kutekeleza kwa bitendo sera nzuri ya elimu ya Chadema,
7.Kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
8.Kuhakikisha kuwa Katiba iliyopendekezwa na Tume ya Jaji J.Warioba inapitishwa na bunge.

Kwa kifupi, serikali itakayoundwa itahakikisha kuwa maamuzi yake kuhusu mambo mbalimbali yanakuwa ni kwa manufaa ya wananchi kwa kuwa hii ndiyo maana ya "Peoples'power!

Mfumo wa kiuongozi hutegemea msimamo wa viongozi. Viongozi wenye nia ya kuwatumikia wananchi huunda mfumo imara unaoendana na katiba/sera za chama chao kwa madhumuni ya kufikia malengo yao. Vivyo hivyo viongozi wenye nia ya kujinufaisha hupenda kutengeneza mfumo dhaifu ukilinganisha na katiba/sera za chama chao ili wapate mwanya wa kujinufaisha wao.

Ni jambo lisilopingika kuwa mtu yeyote anapofanikiwa kuwa mkuu wa kaya atahakikisha kuwa anateua wasaidizi ambao kweli watamsaidia kutekeleza makusudi yaliyomsukuma kwenda ikulu.

Kwa watu wenye uelewa mkubwa juu ya masuala ya kiutawala ni lazima wajiulize kuwa iwapo EL atafanikiwa kuwa mkuu wa kaya ataenda kutekeleza malengo gani?

Hii ni kwasababu huyu amekuwa CCM damudamu maisha yake yote ya ki siasa na kiuongozi, aliipenda syle ya ki CCM muda wote kwasababu hajawahi kupingana nayo hadharani siku zote. Isitoshe madudu yote ambayo yamekuwa yakifanywa na serikali ya CCM ama alishiriki au aliyafahamu from A to Z.
Sasa iweje in just 2 weeks time baada ya kukatwa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ukuu wa kaya ndani ya CCM akahamia Chadema na sisi tumempa kuwa kamanda mkuu?

Hapa inathibitika kuwa Chadema/Ukawa tunachotafuta ni kuingia ikulu tu bila kujali tunaingia ikulu hiyo kwa kuongozwa na nani na tunakwenda kufanya nini.

Pls, think twice before you leap.
 
I hope Humphrey Polepole atasoma hapa, kwanza kabisa ni haki yako ya kikatiba kuropka sababu Tanzania inatoa uhuru wa kuzungumza, na wewe unatumia uhuru huo. Lakini niseme kwamba huna necessary experience au training ya kulewea political strategy hasa hasa katika siasa za Africa.

Lowassa hajawai kuwa prosecute, hajawai kusimama kwenye any circuit court Tanzania for any wrong doing. Unachokisia ni He said she said. Jambo ambalo hata Magufuli anahusishwa na Rushwa ya Nyumba za Oysterbay, au Jakaya alipokuwa wizara ya Fedha kuna habari kibao kwamba alipiga.

Sitaki kukushambulia personal, nitaskip kwenye hilo. Lakini ushauri wangu, ni kwamba tujadili substances na tuache kuongelea personal issue za watu. Tuangalie Magufuli anayapi kwa Tanzania na Ngoyaye ana yapi kwa Tanzania. Sio kuongelea personal issues ambazo hazina mashiko.

Na kama kweli unataka kufanya ufisadi kama ndio center point ya msimu huu naomba tuongelee Ufisadi wa CCM as a whole party, tunajua EPA ndio iliyofund JK finance za uchaguzi, JK marafiki zake kina Rostam wanakashifa nyingi tuu mbona leo huji kumshambulia JK au sababu ndio walikupa kula kupitia tume ya Katiba?

I am tired na hawa watoto ambao wana unga unga elimu kisha wanakuja kujiita advisers kisa wanajua kugoogle
 
MUUNGANO wa vyama vinne vinavyoshirikiana katika Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), umejikuta ukikumbana na upinzani unaoshika kasi nje ya muungano huo, wakati ukikabiliana na sintofahamu inayoendelea ndani yake, huku viongozi wake wakilalamika kuhujumiana wenyewe kwa wenyewe.

Juzi, Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Hamphrey Polepole, badala ya kuunga mkono umoja huo unaojinasibu kutetea Rasimu ya Katiba iliyotengenezwa na Tume hiyo, alielezea kushangazwa na Chadema kukubali kuondoka kwa misingi ya kupambana na rushwa, na kumtangaza mgombea urais, ambaye kilimtuhumu kwa kadhia hiyo.

Mbali na Polepole, Kiongozi Mkuu wa ACT –Wazalendo, Kabwe Zitto, akizungumza mkoani Morogoro, alitaka Watanzania waunge mkono wagombea wa chama hicho, kwa madai kuwa vyama vinavyounda Ukawa, vimebadilika ghafla kutoka kuwa mstari wa mbele kutetea wanyonge na kugeuka kukumbatia ufisadi, huku CCM ikituhumu umoja huo kwa kughushi kadi zake.

Polepole Akizungumza kupitia kipindi cha ‘Mada Moto’ kilichorushwa hewani na Kituo cha Televisheni cha Channel Ten juzi usiku, Polepole alisema chama hicho hakikupaswa kukimbilia kumpokea Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa, kwa kuwa kilitumia kete ya umaarufu wake kisiasa kumshutumu kuwa hafai.

Alisema, Chadema ni taasisi ambayo ina misingi yake, hakuna mtu anayepaswa kuivuruga kwa nia ya kutaka kumfanya mtu mmoja anufaike na chama hicho.

“Chadema wana misingi yao ambayo hakuna mtu anayepaswa kuivuruga. Kwa maana nyingine misingi hiyo ni sawa na imani ambayo haibadiliki kutoka katika msingi wake, hivyo walichofanya nawashangaa,” alisema.

Mjumbe huyo wa Tume hiyo ambayo ilikuwa chini ya uenyekiti wa Jaji mstaafu, Joseph Warioba, alisema hata upande wa Lowassa na wana Chadema wanapaswa kujiuliza iwapo ujio wake ndani ya chama hicho una manufaa mapana yenye malengo ya kuendeleza misingi iliyowekwa au wanafikiria kushika dola pekee.
Alisema waziri mkuu huyo wa zamani amekaribishwa Chadema ambacho kinaunda Ukawa, akiwa tayari ameshiriki kuiunga mkono na kuipitisha Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, wakati Ukawa wenyewe wanaipinga, hivyo kilichompeleka ni msukumo wa kuingia madarakani na siyo Katiba inayotetewa na umoja huo.

Alihoji kama kweli kifikra mgombea huyo anarandana na mawazo ya wale waliomkaribisha, wakati wao wamekuwa wakihubiri kile kilichomo ndani ya Katiba Iliyopendekezwa na Tume, ambayo msimamo wake ni serikali tatu wakati Lowassa alipiga kura na kuunga mkono uwepo wa serikali mbili.

“Ukisikiliza wanasema tunataka kuing’oa CCM, hiyo ndio mada kubwa. Huyu ndio anaijua CCM, mimi nauliza hivi sisi tuna mtindo wetu wa kufikiri, tuna mtindo wa kufanya mambo yetu ili yaende? Hivi leo mnampata mtu mwingine ana itikadi nyingine anakuja, kiitikadi hilo haliwezekani. “Hivi unadhani Ukawa ina uhalali wa kusema inapambana na ufisadi ilhali inafahamu Lowassa, Membe na wengine walisimamishwa na Chama Cha Mapinduzi kwa kufanya rafu? Hivi ninyi mna uhalali leo tena wa kumyooshea mtu kidole?” Alihoji.

Alisema aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, ana siri nzito moyoni kwa kuwa haiwezekani kiongozi huyo kuwa miongoni mwa waliomkaribisha Lowassa na siku chache akaamua kujiondoa kabisa madarakani.

“Mimi nasema, na nataka niwaambie waandishi wa habari mheshimiwa Lipumba ana siri kubwa...”alisema mjumbe huyo ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya siasa nchini.

Zitto Naye
Zitto akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Morogoro Mjini, mkoani humo juzi aliwaomba Watanzania wakiwemo wakazi wa mkoa wa Morogoro kuunga mkono chama chake kwa kuchagua madiwani, wabunge na rais ili kipate uwakilishi kwa lengo la kuwatetea watu wanyonge.

Alisema ACT-Wazalendo, ndio chama kilichobaki katika kuendelea na misingi yake imara ya kutetea wanyonge, baada ya kutokea mtikisiko wa vyama vya siasa vya upinzani, hasa vinavyounda Ukawa.
Kwa mujibu wa Zitto, vyama hivyo vya Ukawa vimebadilika ghafla kutoka mstari wa mbele wa kutetea watu wanyonge, na kugeuka kukumbatia ufisadi, kinyume na msimamo wao wa awali na matarajio ya wananchi walio wengi.

“Ndugu wananchi wa manispaa ya Morogoro, chama hiki sasa ndiyo kimbilio lenu, hakijabadili misingi yake iliyojiwekea ya kupambana na ufisadi... Tunalo azimio la Tabora tulilohuisha kutokana na Azimio la Arusha na moja ni kila kiongozi lazima atangaze kwa kuorodhesha mali yake,” alisema Zitto.

CHANZO:Habarileo.

Nimjinga tu ndie hajui ACT ni taw ccm.
 
Zitto ni mnafiki duniani sijaona, amesahau alikuwa akipewa mabilioni ili atoe siri za CHADEMA kwa Baba Riz, na alifanya hivyo na ndiyokisa cha kufukuzwa Chadema!! Zitto ni njaa tu inamsumbua kama mwanzo anazani na sasa atapewa Yale mabilioni tens!! shame on ur hopeless face zitto, wewe ni mnafki wa upinzani
 
humu waru mmesha pageuza sehemu ya udaku nasio sehem sahihi tulio izoea
 
Alafu haka kajamaaa sijui polepole, hv ni nani hasa?!!?
 
Back
Top Bottom