elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
binafsi katika mitandao ya simu ya Tanzania ninapenda vodacom, labda ni sababu sijawahi kumbwa na hayo matatizo ya wenzangu.
Ukitaka weka salio disable internet ukishajiunga na bundle enable internet maana ukiweka salio bila ku disable internet kuna apps kama whatsapp, push email n.k zinazotumia internet muda wote utakuta zimekula ela kidogo kwa ajili ya internet.
Mpesa kwangu ndiyo huduma bora compared na tigo pesa na airtel money maana nishafanya blunder mara kibao ya kukosea kutuma ela uwa nikiwapgia haraka wanapokea na wanarudisha ela yangu within 24hrs tofauti na tigo ambao kwanza kupokea hawapokei na wakipokea wanauliza kama uko kwa wakala ukijibu hapana basi ndio usahau hiyo ela hupati ng'o utapigwa dana dana mpaka ukate tamaa kila siku waambiwa utatumiwa na hutumiwi.
Internet ya vodacom iko safi kwa maeneo mengi na pia kile kifurushi chao cha buku cha internet bila kikomo ukijiunga wala internet gbs hata 8.
Jiepushe kukubari kujiunga na huduma usizozijua mimi sijiungi na huduma yoyote nisiyo ijua na uwa sijiungi na promosheni za kijinga jinga.