NGUVUMOJA
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,347
- 330
Hapa hamna kitu. Ni sawa na mtu kwenda bar kisha unawauliza walevi "Eti nyie walevi, kati ya pombe, juisi na soda ipi nzuri na tamu zaidi?"Mbona Dr.Slaa JF anaibuka mshindi kila siku kazi ipo uraiani huko ndiyo watu hawamtaki.