Recent content by majuto mperungu

  1. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Ukiwa pale mida ya saa moja mpaka saa mbili hupati sehem ya kusimama. Manyau nyau ingekua enzi zake pale angetoa vichwa vya watu pale.
  2. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Kuna yule jamaa anauza chapati Sinza kumekucha nawasiwasi nae sana. Haiwezekan chapati ziwe za kawaida vile alafu watu wajae namna ile
  3. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

    Mkuu bado unajiita mzalendo! nadhani leo utakua unafurahia uteuzi wa Mtukufu.. ushauri wangu ni hivi vijana wa Uvccm acheni kuwa nyumbu jaribuni kufikiria kwa kichwa na sio zile sehem za kukalia.
  4. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Akaunti fake ilivyorudisha mahusiano yangu na mpenzi wangu kwa haraka sana

    Hawa viumbe bila kutumia akili nyingi watakuoshea sana kama le mutuz. Ukijifanya Good boy kuwaambia ukweli watakuburuza sana. Dawa yao ni kuwadanganya tu
  5. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Njia zitakazo kuwezesha kutumia Jf ukiwa umepigwa BAN

    Unaumwa mavi wewe, sio bure. Sogea karibu na choo
  6. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Njia zitakazo kuwezesha kutumia Jf ukiwa umepigwa BAN

    mh nini hichi umeandika mbona hamna tofauti kati ya njia zote mbili ulizoandika?. Mimi naona njia nzuri ya kutumia jf ukiwa umepigwa ban ni kuacha kuandika uchuro ambao utakusababisha kupigwa ban.
  7. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania George Weah ndio the most famous african son na Diamond ndio most famous Tz son

    Poa mkuu nitakuja kukuungishaa
  8. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania George Weah ndio the most famous african son na Diamond ndio most famous Tz son

    eah ndo unaudumia apa bar sinza nini au job gani uko mkuu. usikute wewe ndo huyu binti anaejipitisha apa mbele yangu
  9. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania TGIF...!!!

    Naona unatuwekea picha za kutishaa. Tuonee uruma baba na January hii. Vyuma vimekaza
  10. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Nasikia sha -hawa pia zinaondoa chunusi kabisa. Tunaweza fanya majaribio pamoja tugunduwe ukweli huo. Ni Pm tufanye kazi.
  11. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

    baby nivumilie tu nitapata kibarua na nikipata kazi sintokusahau.. haha umeamua kuja kuomba ushauri huku kweli!
  12. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Biashara za udalali ni jipu la kutumbuliwa

    Acha wivu wa kike. Pambana na hali yako
  13. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

    we ndo hujielewi kabisa. unaandika uharo wa bata alafu hutaki kurekebishwa. kajambe mbele huko
  14. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

    Rudi ulikotoka kama una jehuri.. kilichokuleta nini!
  15. majuto mperungu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    huu mzoga nani anunue kwa mi4 embu kuwa serious basi khaaa
Back
Top Bottom