Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

Malow-income wamevamia Mbezi Beach!

Status
Not open for further replies.
Una akili ndogo sana Barbarossa,
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 inasema katika Ibara ya 12(1):
"Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa"

Binadamu wote wako sawa chini ya Sheria. (Equality Before the Law)
Awe tajiri au masikini, mwanaume au mwanamke, amesoma au hajasoma n.k
Na huu ndiyo msingi wa hili Taifa la Tanzania ambalo alilijenga Mzee Nyarere.

NB: Wewe ni umesoma wapi wapi kwamba Binadamu ni Un-Equal Creatures ???
Hebu tutolee huu Ujinga wako hapa...
Vizuri ungemuuliza umri wake.Jinsi anavyoandika ndio nazidi kumuona ni katoto fulani hivi kalikotengenezewa maisha sasa kanaleta jeuri humu jamvini
 
Una akili ndogo sana Barbarossa,
Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 inasema katika Ibara ya 12(1):
"Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa"

Binadamu wote wako sawa chini ya Sheria. (Equality Before the Law)
Awe tajiri au masikini, mwanaume au mwanamke, amesoma au hajasoma n.k
Na huu ndiyo msingi wa hili Taifa la Tanzania ambalo alilijenga Mzee Nyarere.

NB: Wewe ni umesoma wapi wapi kwamba Binadamu ni Un-Equal Creatures ???
Hebu tutolee huu Ujinga wako hapa...

Hakuna kitu kama hicho, hizo ni theory tu lkn ukweli ni kwamba Binadamu is unequal hata mazingira tunayozaliwa ni tofauti!

Je mtoto wa Mengi ni sawa na Mtoto wa Joti?

Acha kujidanganya hizo theories zilishindwa na ndo maana ukomunisti ukafa, na hata ukomunisti wenyewe ilikuwa nadharia tu lkn. Binadamu hajawahi kuwa sawa tangu Dunia ianze na haitokuja kutokea, na unajua ni kwa nini?
Ni kwa sababu tunazaliwa na different capabilities hivyo hatuwezi kuja kuwa sawa!
 
Mswahili akipata kiwadhifa kidogo matako hulia mbwata..af sasa anakaa kwao au kwa danga,daah,pambana dada,siku ukianza kutumia pesa ya jasho lako hyo jeur itakwisha.
 
Nilikaa wiki tatu tu nikarudi nilikotoka.

We Mlugaluga hujui tofauti ya jeuri na jehuri. Jifunze kuandika kwanza kabla hujanipa vumbi hapa.
we ndo hujielewi kabisa. unaandika uharo wa bata alafu hutaki kurekebishwa. kajambe mbele huko
 
Nawalaumu wazazi wako.. They failed you hata kama wana hela. Maana wameshindwa kukuza mtoto mwenhye akili za maisha badala yake wamekuza poyoyo ambalo linadhani kuishi Mbezi Beach ndo kila kitu. Unajua hata kutafuta hela we mbuzi?? Watu wenye maisha yao hawana muda wa kukaa jamii forums kuanzisha ma thread. Wapo busy kutafuta opportunities za kukuza biashara zao. You are just a low life unaringia mali za wazazi wako ambao walikuwa ni public servants wakawaibia watanzania.. Maana thinking yako ni ya ki low life
 
Mswahili akipata kiwadhifa kidogo matako hulia mbwata..af sasa anakaa kwao au kwa danga,daah,pambana dada,siku ukianza kutumia pesa ya jasho lako hyo jeur itakwisha.
Nawalaumu wazazi wako.. They failed you hata kama wana hela. Maana wameshindwa kukuza mtoto mwenhye akili za maisha badala yake wamekuza poyoyo ambalo linadhani kuishi Mbezi Beach ndo kila kitu. Unajua hata kutafuta hela we mbuzi?? Watu wenye maisha yao hawana muda wa kukaa jamii forums kuanzisha ma thread. Wapo busy kutafuta opportunities za kukuza biashara zao. You are just a low life unaringia mali za wazazi wako ambao walikuwa ni public servants wakawaibia watanzania.. Maana thinking yako ni ya ki low life

Lkn kwa nini usiishi sehemu ambayo inaendana na kipato chako?
 
Leta dili za hela acha blah blah. How much money you have in your bank account? Sio pocket money ya kupewa na mzazi. What business deals have you concluded today? Otherwise shut fuk up and act ur wage...Akili zako za mtoto wa mama. Don't stand up infront of men and start bragging about Mbezi Beach utachekwa kimba wewe😀😀😀😀
 
Mihemko!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom