Mheshimiwa Mama Yetu uzarendo wako unahitajika katika kusimamia haki na Stahiki za hao wpiga kura wako..!
Vitendo vya unyanyasaji sio hapo tuu.
Kuna hotel nyingi hazizingatii vigezo na taratibu za kazi.
Hata hotel za wazalendo hujihusisha na manyanyaso sehemu za kazi.
Wizara husika iliangalie...
Sasa hizo billet proof za nini bungeni na zinaashiria nini ina maana uaminifu na utulivu hautakuwepo!
Huo unashawishi matumizi ya hizo bulet .....!
Mmm hapo nna mashaka na hilo bunge letu inakuwa kama tuko Palestina!!
Mbona hata kwenye chenji ya Rada walikanusha hatimaye wakakubali kuchukua manoti na ili isilete noma wakaamua kuielekeza ktk miradi hewa ya kuvimbisha matumbo yao!
Katika hilo la Poooouudar mmh sijui watakanushaje!
Na ni nani wa kujiuzulu kwa niaba ya wengine.....!Vp Richmond na...
Ina maana dola haikuchukua hatua kwa mauaji ya kwanza kwa walala hoi!
Kiasi ambacho ameua ni kikubwa saana kwa nchi ynye Amani na Utulivu anapaswa afikishwe The Heigue! Huyo ni tishio kwa jamii nzima!
Hiyo jumuiya iliwashinda waasisi na ilivinjika mbona hata tutengwe hatuna faida na huo muungano wao ndo watafaidika na sisi..
Tanzania tuimarishe jumuia ya kusini mwa jangwa la sahara.SADDEC ndo ishu huko EAC hakuna jipya vilaka tupu!Waheshimiwa komalieni huko Saddec EAC bwaga tupate fulsa za...
Mmh hayo mafuta aliyotumia kwa umbea ni bora angenunua Panadol za wapiga kura huko Mr.Meru Hospital.
Lakini ana shida gani majukumu yote ni ya RAS Ila posho mlima wa kwanza yy kutumbua!
Ingewaka moto asinge hata kimbilia kuokoa majeruhi angeomba rikizo!..
Kisa ni Rubani wa kijeshi karusha dege...
Aah!!
Tatizo ni hizi bia za kizazi kipya!!!?
Mguu wa bia enzi za Tanu na ASP!
Sio huo au Mkuu unamaanisha ukisha lewa unaona huo ndo wa bia,?..!
Huo ni wa kawaida kama ni bia hizi zisizo na viwango!
Mguu wa Bia ukikutano nao unasahau njia uendayo na unahairisha mambo yako yote na kutekewa nao...
Ina maana Tanganyika vifika miaka 50 ya uhuru ijayo!!?
Hiyo iko uko Tanzania kwetu uku hatujaletewa hata umeme iweje iyo kitambulisho!
Kawape watoa kodi na syo cc wapiga kura.
Kila mtungua embe lazima aangalie juu!
Kama mwembe dume utakuwa ni kivuli na makazi ya watoto ktk michezo!
Ukishakuwa na matunda tuu utatupiwa mawe utapandwa na kila mtu hata vichaa!
Hayo ndo yanajili ktk wizara zenye ulaji kila jicho la fisadi ni hapohapo!
Mbona hawatolea macho uku kwenye choka...
Hizo mizani ni kwa manufaa binafsi yakishatokea majanga utasikia uzembe wa dereva kaendesha mwendo kasi!
Inatakiwa Mh Magufuli ulitolee macho hilo.Na sisi abiria ni tamaa ya kufika tuendapo kwa mashaka hapohapo mliposhuka wote mngegoma kupanda tena hadi mmiliki alete basi lingine kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.