Kimataifa: Sababu kuu Tanzania kutengwa …

Kimataifa: Sababu kuu Tanzania kutengwa …

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,623
Reaction score
1,096
Sababu za Tanzania kutengwa EAC zimebainishwa na Wachambuzi wa BBC 25.12.2013 ktk majumuisho ya matukio 2013;

1. Inasuasua katika suala zima za kuharakisha kuundwa Shirikisho na hasa

2. Inapinga uanzishwaji wa Reli ya kuunganisha nchi Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi

3. Imemshtukia Raisi Mseveni (Uganda) kutaka kuwa Raisi wa Kwanza wa Shirikisho hilo
 

Attachments

  • Presidents-of-the-EAC.jpg
    Presidents-of-the-EAC.jpg
    53.2 KB · Views: 95
Tanzania haisuisui isipokuwa haitaki kupelekeshwa hasa juu ya suala la ardhi! Wenzetu walitegemea kuwa wangepatta ardhi ya bwerere lakini imekuwa kinyume na matarajio yao! Hawa BBC wengine ni "wale wale" kwa hiyo wanaweza kusema lolote!
 
hiyo namba mbili ni kichekesho, mwandishi hajui anachoandika, kwasababu umbali wa mombasa .

Idunda unadunda kama mpira bila mwelekeo. Tafakari mwandishi ameegemea wapi. Waulize wachambuzi BBC walimaanisha nini? You are rushing into quantitative rather than qualitative analysis.
 
Hawa BBC wengine ni "wale wale" kwa hiyo wanaweza kusema lolote!

Nakubliana nawe japo si 100% kuwa mabingwa wa vpindi vya NGELI BBC mfano Kassim Kayira (Rwa) na Peter Musembi (Ken) ndo walewale na hivyo wanajua vigezo walivyotumia kuendesha kipindi.
 
!
!
tunasubiri tuunde tume ya uchunguzi tutaipati na hadidu za rejea,ilete mapendekezo ya nini kifanyike na hatua za kuchukua. Infact kuunda tume ni mchakato unaohitaji mkurabita na mkukuta katika big results now. Kwa sasa tunangojea fedha za wafadhili kwa ajili ya kazi hiyo na zikifika tu tutaanza mara moja.
 
Rejea hutuba ya Rais Kikwete kuhusiana na jambo hili.

Hayo ni maoni ya wachangiaji sio lazima yawe sahihi hata kama wamesemea BBC. Isitoshe huyo rais wa EA atachaguliwa kwa mtindo gani? Inawezekana Mu7 ana ambition ya kuwa hivyo je kura za wananchi wake zitatosha ikiwa anaupinzani ndani ya nchi yake? Kenya vipi? Tanzania ipi? Kwa ujumla twende kwa hatua na hatua ya kwanza ni kuimarisha uchumi wa nchi hizi. Na baadae ni kama ilivyo katika makubaliano...

Watanzania hatukubali kuburuzwa.
 
!
!
tunasubiri tuunde tume ya uchunguzi tutaipati na hadidu za rejea,ilete mapendekezo ya nini kifanyike na hatua za kuchukua. Infact kuunda tume ni mchakato unaohitaji mkurabita na mkukuta katika big results now. Kwa sasa tunangojea fedha za wafadhili kwa ajili ya kazi hiyo na zikifika tu tutaanza mara moja.


:nono::nono:
 
Rejea hutuba ya Rais Kikwete kuhusiana na jambo hili.

Isitoshe huyo rais wa EA atachaguliwa kwa mtindo gani? ...

Watanzania hatukubali kuburuzwa.


Bila shaka atachaguliwa kwa utaratibu uleule uliomchagua Dr. Richard Sezibera wa Rwanda kuwa Katibu Mkuu EAC
 
Hiyo jumuiya iliwashinda waasisi na ilivinjika mbona hata tutengwe hatuna faida na huo muungano wao ndo watafaidika na sisi..
Tanzania tuimarishe jumuia ya kusini mwa jangwa la sahara.SADDEC ndo ishu huko EAC hakuna jipya vilaka tupu!Waheshimiwa komalieni huko Saddec EAC bwaga tupate fulsa za kuingia bondeni kwa Entry bila VISA .
 
Watanzania hatukubali kuburuzwa.[/QUOTE]

Mhesh Sita kajitahidi kutoa msimamo ws Tz
 
Back
Top Bottom