Mtuhumiwa wa mauaji ya Tarime

Mtuhumiwa wa mauaji ya Tarime

lione kwanza sura. bayaaaa kama nini sijui..sijui alifaidika vip kuua maana kakondeana kama mwathirika wa HIV...bila shaka injection ya thumu imemmaliza huyu..
 
Kwanini na yeye alikufa? Alistalihi adhabu kali kabla kufa
 
We upo nyuma ya muda? hujui kuwa iliripotiwa kuwa alikuwa kwa pumu hosptali?

Nilisikia hizo habari.. nikacheka kidogo.. Ila baada ya kabanga kuikumbushia ndo ikabidi nicheke zaid.. Hata mtoto mdogo hakubali..
 
Last edited by a moderator:
Ina maana dola haikuchukua hatua kwa mauaji ya kwanza kwa walala hoi!
Kiasi ambacho ameua ni kikubwa saana kwa nchi ynye Amani na Utulivu anapaswa afikishwe The Heigue! Huyo ni tishio kwa jamii nzima!
 
Nilisikia hizo habari.. nikacheka kidogo.. Ila baada ya kabanga kuikumbushia ndo ikabidi nicheke zaid.. Hata mtoto mdogo hakubali..
sosoliso, hawa jamaa wanatuona hamnazo kabisa.... nilicheka sana baada ya kusikia eti kafa kwa ugonjwa wa pumu.
hebu fikiria wamemtoa Tanga baada ya kichapo wamemkanyaga safari nzima hadi musoma sijui tarime halafu leo useme kwa pumu....!!!!?
 
Last edited by a moderator:
sosoliso, hawa jamaa wanatuona hamnazo kabisa.... nilicheka sana baada ya kusikia eti kafa kwa ugonjwa wa pumu.
hebu fikiria wamemtoa Tanga baada ya kichapo wamemkanyaga safari nzima hadi musoma sijui tarime halafu leo useme kwa pumu....!!!!?

Taarifa zilizopo kabanga ni kwamba jamaa alifumuliwa mjoli wote.. Sasa sijui hawa Polisi wetu kwenye mjoli wa jamaa walikuwa wanatafuta nini lol..
 
Last edited by a moderator:
Bora leo wametafuta kisingizio kingine sio kile cha ncha kali tena lol!masnura kweli
 
mwallu kuna sababu ambazo zinasemwa lakini zinaendelea kufanyiwa kazi pindi habari za uhakika zikipatikana nitakujuza hapa..
ahhhhhhh sosoliso nidokeze tu mimi baba why he was doing thay way .atleast nijue napenda san crime investigation kama hizi je alitendwa na mwanamke ?akaamua kulipiza kisasi?
 
Last edited by a moderator:
ahhhhhhh sosoliso nidokeze tu mimi baba why he was doing thay way .atleast nijue napenda san crime investigation kama hizi je alitendwa na mwanamke ?akaamua kulipiza kisasi?
Nivea mpaka sasa zinafanyiwa uhakiki kama ni za kweli au lal.. Ila haihusiki na mwanamke au kutendwa na mwanamke.. Inahusiana zaidi na kudhulumiwa mshiko..
 
Last edited by a moderator:
nafikiri hilo ndilo jambo la msingi,kwamba kwa nini alikua anaua hovyo?ni mzima kweli?ana hasira na nani?wapo wangapi wenye dukuduku na mtazamo kama wa kwake?tunaweza kushangilia kwamba tatizo limeondoka,kumbe wenye mtazamo kama wake wapo wengi!kama amekufa kwa pumu well and good(ila naamini hawakumpeleka hosp kwa matibabu)kama wamemrestisha ilikua ni mapema sana.

:flypig:
lakini
kwa nini alikua anafanya hayo mauaji?
 
Back
Top Bottom