sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Ni jambo la ajabu sana,
ndani ya miaka minane wizara hii imeongozwa na mawaziri watano, huyu anayetoka anakuwa wa sita..
Tatizo la utendaji mbovu wa mawaziri sio wao (individually) bali ni mifumo mibovu ya kiutendaji wanayoikuta hapo wizarani.. Ambayo inamgusa kuanzia mfagiaji mpaka waziri mwenyewe...
Na MM (Muhusika Mkuu) ni Rais, wakati MM1 (Muhusika Mkuu namba msaidizi) ni Waziri mkuu!
Nawasilisha..