Rc Mullongo anapotoka ofisini kushangaa ndege ikiruka

Siyo kwamba ni washamba, tafadjhali naomba uache kukufuru Mungu, maskini watu hawana kazi inabidi uwaonee huruma! Uliwaona siku ile ya Obama wlaivyokuwa wamejipanga barabarani? Si kweli kwamba walitaka kumuona Obama, majority hawana kazi. Maskini waTanzania wangu! Yaani huwa naona huruma sana wakati mwingine, really from my heart!

Tupo pamoja Makanyaga,
Watu hawana kazi yeyote ya kufanya, wanapopata kitu kama hiki cha kuchepushia mawazo yao kwao inakuwa ni issue. Wape cha kufanya uone maajabu ya Musa kuvuka bahari bila mtumbwi.
Unashangaa mkuu wa mkoa kutimua vumbi kwenda kuiwahi ikiondoka; hata weye ungekuwepo sehemu kama hii ungeenda hata kuushangaa huo umati baasi. Ufanye nini na hayo ndiyo maisha bora kwa kila Mtz?
 
Tukio la ile ndege, limenipa mwanga kuwa watu wengi wa Arusha ni washamba sana, Kwa siku mbili ile ndege ilipokuwa pale Arusha Airport, watu walikuwa wamejaa sana Pembezoni mwa uwanja wakiishangaa boeing 737, Mpaka mama ntilie walishafungua vijiwe pembezoni mwa Arusha Airport, Siku ya Ndege kupaa ndio ilkuwa "aibu" Arusha Airport ilijaa watu wengi sana, Na wakati ndege ikipaa watu walianza kushangilia huku wengine wakipongezana kwa ishara ya kukumbatiana, ikawa gumzo mjini, ndege imepaa, kwenye mabaa, vijiwe vya kahawa, kwenye daladala, kila kwenye mkusanyiko wa watu ni habari za kupaa kwa ndege tu!



Njia ya muongo ni fupi sana! Ni Boeing 767 na siyo kama hapo RED.
 
Mmh hayo mafuta aliyotumia kwa umbea ni bora angenunua Panadol za wapiga kura huko Mr.Meru Hospital.
Lakini ana shida gani majukumu yote ni ya RAS Ila posho mlima wa kwanza yy kutumbua!
Ingewaka moto asinge hata kimbilia kuokoa majeruhi angeomba rikizo!..
Kisa ni Rubani wa kijeshi karusha dege nae anataka kuuza Sura kwenye vyombo vya Habari!
 
Gari la Mkuu wa Mkoa Arusha likiwa limembeba huku likitimua vumbi pembeni ya uwanja wa ndege wa Arusha, RC Mulongo alikuwa akiwahi uwanjani ili kujionea ndege ya Ethiopia boeing View attachment 128032767 ikiruka baada ya kufanikiwa kunasuliwa kwenye udongo ilipotua kwa dharura Jumatano, pembeni ni uziwa wa wavu wa uwanja wa ndege wa Arusha.

Hivi yule demu wake aliepigwa risasi anaendeleaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom