Chezea fumanizi wewe

Chezea fumanizi wewe

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
BgF-60RIAAA8rOp.jpg:large
 
mbona hizo mbili nyekundu na njano nado zipo? hazikitakiwa kuwepo kabisa
 
mbona hizo mbili nyekundu na njano nado zipo? hazikitakiwa kuwepo kabisa

Eti mkuuu!!??hapa katinga viwalo vya kutokea kabisa?!! Fumanizi ingekuwa kitu mbichi mbichi au siyo mkuu?!!
 
Duh huyu hataki ushabiki eti "ooh Yanga mara Simba" kanyutrolize dadadeki
 
Aliyefumaniwa anakuwaga hivo! Hovyooooo
 
Hilo fumanizi halikuwa babakubwa mana hata hizo nguo tunazoona zisingekuwepo.
 
Mbona kama anatoroka kwao anampelekea mtu papuchi myege mbayaaa!!
 
Back
Top Bottom