Recent content by majisafi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Filamu hupotosha imani

    hiyo ndio hasara ya utandawazi mkuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga 5 mwarabu 0

    kuwatoa waarabu ni mbinde hasa kwa hizi timu zetu za africa mashariki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES : Yanga (Tanzania) Vs Al ahly (Misri),

    tusubiri tuone lakini kama imani sina hivi. Tuombe mungu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anacheat lakini bado ana wivu kwa mkewe, si ubinafsi huu

    avumilie tu ndoa ni milima na mabonde zaidi sana amuombee kwa mungu abdili tabia yake.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndani ya BBC: Kitila Mkumbo atetea 'Ushoga'

    sasa kwani wewe ulitaka asemeje? Hayo ndio maoni yake. Ametumia uhuru wake na wewe toa ya kwako. Acha kulalamika.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha tuhuma za Paul Makonda kuhusika na wizi wa simu bungeni

    ok sawa hakuiba. Sasa mwizi ni nani? Au mwenye simu alijiibia mwenyewe.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Natafuta Kazi

    pole sana ila usikate tamaa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kusoma sms za simu kwa kutumia gmail

    kweli kabisa ndugu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya faragha chumbani

    mapenzi ni hisia so muda wowote mkijisikia peaneni mambo. Maandiko yanasema msinyimane.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimemzalisha X girl friend wangu lakini kanificha na anafikiri bado sijui

    kama vipi nenda kamchukue mwanao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya faragha chumbani

    mapenzi ni hisia so muda wowote mkijisikia peaneni mambo. Maandiko yanasema msinyimane.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba yadhamiria kukamilisha Uwanja wake ndani ya siku 100 kuanzia Machi Mosi

    kwani wale waturuki waliowahi kuletwa kwa ajili ya huo uwanja waliishia wapi. Leo tena wanachama ndio wakajenge uwanja? Ngoja tusubiri siku mia moja sio nyingi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Daktari FEKI aliekamatwa jana Muhimbili ndo huyu hapa

    du kazi ipo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hutoa udenda hapa

    si kweli. Kila mtu na chaguo lake. Labda hilo ndio chaguo lako.
Back
Top Bottom