Ratiba ya faragha chumbani

Ratiba ya faragha chumbani

tyta huwa unanifurahishaga kwa picha...
Mi nafkiri hii kitu haina ratiba coz hata ikiwepo itavurugika tu,cha muhimu ni kuridhika na kutochoshana

nasisitiza lazima muhimu but iwe flexible.........
 
Tatizo la wachangiaji wengi bado ni vijana..(maji ya moto)..na damu bado inachemka..ndoa hawajafunga ni michepuko kwa kwenda mbele..katika ndoa mapenzi is more than just sex..mtakuwa na mambo mengi ya kufanya kwa mustakabali wa familia yenu..so ratiba muhimu(but flexible)....watu wanachowaza hasa midume ni kugegeda tu any time of his arousal...ndio maana takwimu zinasema asilimia kubwa ya wanawake walio katika ndoa/mahusiano hubakwa na waume zao..unadhani tatizo ni nini....eti ni haki yako....b.s....
 
Try to remember that sex is physical and emotional insurance for your life together, and it is well worth investing in. There are so many positive benefits of having sex-things that benefit you directly-such as bolstering your immune system, getting exercise and losing weight (it's so much more fun than the treadmill!), as well as keeping you feeling emotionally fulfilled because it is one of the ultimate ways to connect with your partner. Try to move the emphasis from doing it for the other person back to doing it for you and everyone will benefit.
Schedule Spontaneous Sex | Healthy Living Magazine
 
[h=1]Scheduling Sex Is Sizzling Hot[/h]http://www.wired.com/culture/lifestyle/commentary/sexdrive/2006/09/71860?currentPage=all
 
You schedule doctor's appointments, workouts at the gym and after-work drinks with friends. But would you pencil in sex around your office presentation or root canal? When it comes to your marriage and sex life, it may be the best way for today's busy couples to maintain intimacy, said Janice Epp, Ph.D., dean of the Institute for Advanced Studies of Human Sexuality in San Francisco.

"I frequently see a lot of very young couples who are working 14- and 15-hour days and they're wondering why they're not having sex," Epp told Huff/Post50. "And the couples in their 50s, 60s, and 70s are not used to looking at sex as valuable. They've had all these years of putting sex behind everything else. You have to be willing to make it a priority.
Marriage And Sex: Scheduling Intimacy Can Improve Both
 
michepuko haitaisha kama wana ndoa hawatakuwa makini katika swala hili la kujipangia ratiba linalo onekana dogo lakini lina uzito mkubwa katika kudumisha mahusiano/ndoa, pia iyo ratiba isiwe kama ndo mkataba kwamba mwenzio kazidiwa hapati kitu mpaka siku ifike!!
 
michepuko haitaisha kama wana ndoa hawatakuwa makini katika swala hili la kujipangia ratiba linalo onekana dogo lakini lina uzito mkubwa katika kudumisha mahusiano/ndoa, pia iyo ratiba isiwe kama ndo mkataba kwamba mwenzio kazidiwa hapati kitu mpaka siku ifike!!
 
That is faith.........kama unaamini inakua hivyo.

Nnaimani ushawahi sikia hili neno "kubariki ndoa" je hawa wahusika walipokuwa kitandani walikuwa wanafanya tendo gani?

Ni kweli kabisa ni imani! Ila ushasema wanaenda kubariki ndoa ili wapate tendo halisi la ndoa, inamaana na wao wameona kuna umuhimu wa kuitafuta baraka katika tendo hilo na hiyo inamaana mpaka wafikie hatua hiyo ni wazi kwamba wameona tofauti ya tendo la ndoa na ngono!! Kabla ya hapo walikuwa wanangonoka tu.
 
Kwa upande wangu sipendi mambo ya ratiba napenda ile kutwa mara3 na usiku mara2 or3 sio mbaya...
 
ratiba ya nn, kama mnapendana lazma mtakua in harmony kufnya chochote wakat wowote
 
mapenzi ni hisia so muda wowote mkijisikia peaneni mambo. Maandiko yanasema msinyimane.
 
mapenzi ni hisia so muda wowote mkijisikia peaneni mambo. Maandiko yanasema msinyimane.
 
kwa wanaume mkitupangia siku za kula tunda ndo mnatuchochea tukale nje..
e.g unanipangia mara 2 kwa mwezi..that is 2/30 days
wakati nina uwezo wakupiga 20/30 days..((10 nimeziweka excluded kutokana na UEFA ..inakata mood so far..pumziko..umesafiri kidogo))
kwahiyo apo kama nimepangiwa mara 2..izo mara 18 atanisaidia nani??
ndo mana kidumu kinakuja apoo...vidumu 3...kila mmoja mara 6 kwa mwezi vinamalizia hesabu yetu:evil::evil::evil:

vipi kwa mwanaume anae fanya mara2 kwa mwezi,alafu bao1 je mwanamke kidumu kitamhusu?
 
vipi kwa mwanaume anae fanya mara2 kwa mwezi,alafu bao1 je mwanamke kidumu kitamhusu?
uyo kidumu hakimuhusu...huyo daktari au mitishamba ndo inamu huuu
baoo moja????daahh...kizazi hiki minimum goli 3 kwa below 30 years
na minimum 2 above 30 years
 
Weka ratiba halafu usile vizuri tuone kama utafauta ratiba hapa! Ratiba bongo? wizi mtupu.
 
Kama kuna mapenzi ya dhati, hata kama mnatoka kazini mmechoka kiasi gani!!!! Kama kuna mahusiano mazuri hakuna ratiba ya kufanya mapenzi, kama mmojawapo amechoka basi ni kazi kumliwaza mwenzie kwa maneno na huba tamu kumsaidia mwenzie apate hisia, mkisikilizana na kupendana kwa dhati mapenzi hayana ratiba, na kama kila jambo mwafanya pamoja basi hata wakati wa kuoga mwaweza maliza mambo huko bafuni. Na kama mmoja anachelewa kurudi basi anaporejea nyumbani unaamka, unampokea kwa huba, maji ya kuoga, anakula kisha mwajongea kitandani, hata mkilala mmekumbatiana kwa upendo ni zaidi ya hilo tendo la ndoa.

unatamanisha kweli yaani
 
Back
Top Bottom