Jamani Natafuta Kazi

Jamani Natafuta Kazi

Humu hatuchezi jamani tunahitaji mabadiliko km uko serious niambie nikupe no zangu then tuyajenge kuhusu aliyekuomba rushwa ya ngono then kazi unapt b4 mwezi wa nne
 
Mkishauriwa msome ualimu,mnadharau..haya sasa,hayo matourism utaenda nayo wapi?

kuna mtu alidharau kazi ya ubank teller ukamjia juu, leo hii yamekua haya??? ama kweli kunya anye kuku, sio bata
 
Nina kibanda changu cha kuchoam CD za uhamsho, njoo ujishikize ila uwe makini na vijana wa kova juu ya kazi za uhamsho!!

Pm kama umeilelewa offer yangu.
 
Nimemaliza Bachelor of Tourism Management 2012, hadi leo sina pa kujisihkiza. Nimeomba kazi sehemu nyingi bila mafanikio na sehemu zingine nimeombwa rushwa ya ngono sikuwa tayari kwa hiyo nilikosa kazi.
Ndugu subiri tu utafanikiwa Tourism sasa ni time yake....Je, upo tayari kuhamia Northern circuit, Kampuni nyingi zipo huko!! just niPM na CV zako.
 
Humu hatuchezi jamani tunahitaji mabadiliko km uko serious niambie nikupe no zangu then tuyajenge kuhusu aliyekuomba rushwa ya ngono then kazi unapt b4 mwezi wa nne

npe email nkutumie cv
 
Sasa uliogopa nini? ungekubaria kitu TIGO kwanza then mkatoa mchango kwa dume imara baada ya hapo kesho yake ungeona sasa fulloffice full viyoyozi kwakwenda mbele.
 
Sasa uliogopa nini? ungekubaria kitu TIGO kwanza then mkatoa mchango kwa dume imara baada ya hapo kesho yake ungeona sasa fulloffice full viyoyozi kwakwenda mbele.

kama huo ndio mchango wako:MUNGU akubariki.,
 
Sasa uliogopa nini? ungekubaria kitu TIGO kwanza then mkatoa mchango kwa dume imara baada ya hapo kesho yake ungeona sasa fulloffice full viyoyozi kwakwenda mbele.

Daaah!! Watu wasio na kazi wanadharauliwa sana.
Mungu tuangalie kwa jicho la huruma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom