Wengi wanasema ni kinga ya kuzuia magonjwa hasa degedege na kuzuia wachawi wasimzuru mtoto
Lakini mambo haya siyo mambo madogo kama watu wengi wanavyofikiri.
Kinachofanyika ni kumuunganisha mtoto na mamlaka za kichawi za kuzimu kumlinda mtoto kichawi.
Hizi mamlaka za kuzimu ni kweli...
Ni kweli kabisa wakadarasi wengi hawajalipwa na serikali kipindi hiki cha awamu ya tano. Ujenzi wa hostel za wanafunzi wa chuo kikuu cha DSM serikali ilitoa bilioni kumi ambazo ziliishia kwenye awamu ya awali ya msingi, kuendeleza ujenzi ni pesa za wakandarasi ambao kwa sasa wanaidai serikali...
Kama account yako ya bank ina majina matatu na kitambulisho chako cha kazi kina majina mawili, rekebisha jina la kitambulisho kwa mwanasheria au mahakamani haraka kabla ya mwaka mpya wa serikali kuanza kwani jina lako litaondolewa kwenye mishahara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.