NMB: Haya makato mapya!

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,792
6,768
Habari

Tafadhali mods msiuunganishe huu uzi na ule wa kweny sticky kwa sababu ya sensitive

mwaka jana 2016
Personal A/C monthly charges ilikuwa ni Tsh 1600
ATM charges- kudraw pesa via atm ilikuwa 800
Kama una VISA CARD ILE YA TANZANITE kwa mwaka ni 8000

Mwaka huu 2017
Personal A/C monthly charges ni 1900
Atm charges- kudraw pesa ni 944
na VISA CARD kwa mwaka ni 9440

Kabla ya hapo ulikuwa ukidraw pesa na mwisho wa mwaka kuna hela kama shiling 144 ilikuwa inakatwa kam excise commission duty(sina uhakika) na nyingine kama 244 ilikuwa inakatwa.

sasa sijaelewa kwa nini gharama zinazidi kila mwaka.

nmb tunaomba maelezo hapa nini kimetokea
 
1600 + 288 (18%VAT) = 1888

800 + 144 (18%VAT) = 944

8000 + 1440(18%VAT) = 9440
 
Leo nimefuatilia gharama za kutoa pesa kama una Nmb bonus account naambiwa ni sh,4060 maana hii card huwez kutoa pesa kwa ATM ,nikaamua kutoa vijisent vyangu bora nikatunze nyumbani liwalo na liwe
 
1600 + 288 (18%VAT) = 1888

800 + 144 (18%VAT) = 944

8000 + 1440(18%VAT) = 9440

Sasa si ilitakiwa iwe 800-144=656 waikate humu humu ndani ya hiyo wanayokata benki. sasa kinachofuata ni sisi kuendelea kuminywa sisi.

oohhhh Tanzania mbona tuna safari ndefu.

nilikuwa nikiona kwenye bank statement ila sasa nmewaelewa

ila mwakani lazima ipande tena
 
Wana tamaa na faida kubwa kubwa. lakini ngoma ikivuma sana lazima ...................... !!! Wacha tuwahesabie tu siku zao, tena siku hizi mishahara ya watumishi sio lazima ipitie benki yao
 
Hali ni mbaya kwenye benki karibu zote sio NMB pekee jaribu kupitia benki nyingine utakuta makato ni hayohayo
 
Gharama haijaongezeka kilichoongezeka ni 18 ya serikal. Gharama kutoa kwa Atm ni sh 800 jumlisha asilimia 18 ya 800 ndio inakuja 944, kuchukua ndani gharama ni ile ile sh 3,500 jumlisha 18% ya hiyo hela ni 630 jumla 4,130/ so nmb hawajaiba hapo ila ile kodi ya kila muamala unaofanya ndio inayotuumiza. Hapa kazi tu
 
BRO MBONA HATA HUKO KWENYE MIAMALA YA SIMU MAMBO NDO HIVIHIVI...........?
Kote wanaiba....yaani ni shida....bora kuficha fedha chini ya vitanda tu...maana hamna mwenye huruma. Alafu wafanyakazi asubuhi utawakuta wanasali....sijui huwa wanasali kwa ajili ya nini
 
Hivi ci watumie salary kwenye mpesa tigo pesa na airtel money kama ndio ivo kila ck wanaongeza.
 
Back
Top Bottom