Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 118
Naamini kuwa hii ni wilaya/jimbo ambalo ni maskini kuliyo yote Tanzania
Hivi wana kisarawe mnashindwa kumput to task huyo mbunge wenu (kama yupo)?
Mambo ya musing kama Maji, Umeme, Barabara na Afya ni non existent kwenye hili jimbo
Kama mmeshindwa kwa nini mnashindwa kumshitakia kwa Rais au kwenye vyombo vya habari?
Kama mmeshindwa kabisa kwa nini msimpe jimbo lenu Mchagga au watu kutoka Mbeya au Iringa ili wawaletee maendeleo?
Sielewi huyu mbunge wa Kisarawe anashindwa vipi na wabunge wa Kibaha, Bagamoyo na Mkuranga ambao sio mawaziri
au tumeleaaaniwa wana Kisarawe?