Recent content by Maji67

  1. M

    JamiiForums Tanzania Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Kweli kabisa mkuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

    Mkuu naweza kupata hivi vitabu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Naungana na kiongozi katika hili. Kilimo cha kitunguu ni gharama sna. Inaweza ikafika milioni 2 kama unavyosema.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    ASANTE MKUU KWA ELIMU YENYE MANUFAA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya mpunga na mahindi kwa sasa ipi?wapi?

    Mpunga elfu 60000 Morogoro
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa watu kuguswa moja kwa moja ndo maana ukosoaji umezidi

    Nadhan wewe bado hujaguswa. Nadhani wewe sio miongoni mwa graduates ambao tola last year wamekuwa wakisubiria hizo ajira za serikali; nadhan wewe sio miongoni mwa vijana waishio mjini ambao hali zao za kibiashara zinazidi kwenda kombo;nadhani wewe sio miongoni mwa wakulima ambao bei ya mazao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nmecheka sana baada ya kusoma hapa. Nakubaliana na wewe kiongozi. I wish siku nijaribu hii
  9. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    Nadhan hatutaelewana . Kwanza kabisa mimi sijifananishi na Mungu halafu kwa uelewa wako Hivi unadhani Mungu hakujua kwamba siku mojq shetani atakuja kubadilika toka mwanzo? Yani, kipindi ile anamsifu (shetan anasifiwa) , Mungu hakujua atabadilika? Kama hakujua "Sawa" ila suala la mjuzi wa yote...
  10. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    Ndugu yangu nadhani umekosea kidogo hapo juu.Mungu sio kiumbe? He is a Being that why akatuumba kwa mfano wake(Nukuu ya kidini).
  11. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] inahitaji ujasiri kufanya mambo hayo sana mana sio tu unadanganya wengine bali unajidanganya mpk ww mwenyewe. Hujawah hata kusikia sauti ya mungu wala malaika halafu unajitokeza hadharani kabisa na kusema yupo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    Sio kwenye rule au principle ila idea nzima tu ya Kiumbe wa namna hiyo haingii akilini. Let's start slow, SO UNATAKA KUNAMBIA AMEJIUMBA AU VIPI???
  13. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    How is that possible???
  14. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    Hata Rene Descartes alifeli katika hilo la kujidai eti "Kisa nauliza swali au nafikiria kitu basi kipo (exist)". What if I think He isnot exist,will it make that to be True kwamba Mungu hayupo? Mbele ya mchongaji, kinyago ni kinyago tu, iwe kinapinga au hakipingi uwepo wake.
  15. M

    JamiiForums Tanzania 'Who created God' is an Illogical Question!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamaaa umepigilia msumari zaidi. Ukisoma African Tradition Religions (ATR) hususani za kule West Africans kama za Yoruba wanasema eti "Mungu aliamua kwenda mafichoni baada ya kuona binadam wengi wanamsumbua sana kila saaa, kila mara basi makundi ya watu...
Back
Top Bottom