Recent content by majenzini

  1. M

    Kwanini Wanawake wa Kizanzibar waishio Bara huenda kujifungulia kwao Zanzibar?

    Shida ni birth certificate katika ajira zao wanaangalia cheti cha kuzaliwa Je! ni cha zenji original ikiwa sio ndugu kazi ipo
  2. M

    Wanawake wengi huomba kufanyiwa upasuaji badala ya kujifungua kawaida

    Baadhi yao wanafanya mapeni kinyume na maumbile kwa kukimbia aibu wakat wa kujjifungua wanaamua kutumia njia ya upasuaji
  3. M

    Maisha baada ya kifo

    Na vile vile aliahid hata muadhibu mwanaadamu isippkua kafikiwa na mjumb (mtume) kutok kwake
  4. M

    Maisha baada ya kifo

    Kwanza kuhusu mababu zetu mtu wa mwanzo ni Adam nae alikuwa na mfumo wa ibada hivyo wa mwanzo aliyemfuata adam ndio mfumo wake huo utakaomuokoa na moto 2. Kuhusu Mungu kutuumba na kutujua mwisho wetu kwann wengine moton na wengin hawataingia moton Mungu kila kitu anakicontrol ila kimoja tu...
  5. M

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Uhuni ni kufanya jambo lisiloendana na mila na desturi ya jamii hiyo so si kila kinachofanywa na wazungu sio uhuni kwa Waafrika maana mila na desturi ni tofauti Mfano jamii ya King Mswati mavazi yao si uhuni kwao ila kwa Tanzania SIJUI UTAITWAJE
  6. M

    Mwalimu huyu wa lugha ni balaa

    Nadhani ni mrija wa kunywia mfano juice maana flash ni kinyonyeo au kinyonyo
  7. M

    Mkutano wa CAF wapitisha maombi ya Zanzibar kuwa mwanachama huru

    Zanzibar wanawimbo na bendera yao kabisa
  8. M

    Utalii wa ndani: Siku ya kwanza kutembelea Zanzibar (Unguja) nilijifunza mengi

    Kuna maeneo niliwahifika yapo kaskazini ya kisiwa Nungwi, Kiwengwa na Matemwe na Kusini Kizimkazi ni kuzuri ww nadhan ulifika pale wanapaita Forodhan ukaona ndo apo apo
Back
Top Bottom