Recent content by MAJANI KAJUAMUNGU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Tundu lissu ni mmoja kati ya chadema chumban
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tukio la Rais Kikwete, Dr. Shein kukabidhiwa Rasimu ya pili na tume ya Katiba - Karimjee Hall

    Vp kuhusu uwepo wa wakuu wa wilaya na mikoa rasimu imesemaje?maana ni makada wa ccm hawa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Mbowe wajibikeni mauaji M4C: Makonda

    Makonda ni nani?c yule ambaye degree yake ni ya upishi au mwngne,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Wewe hujui,mariam msabaha hotuba zake kiboko.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Zitto na Dr Slaa - Zitto apata mamia, Slaa apata makumi

    Nadhan dada lukosi unakosea sana,cdm ni moja tena the strongest party in tz hakuna cdm babu wala cdm zitto ninachokiona ni watu wanamuenjoy tu zitto bt wanapenda chama zaid.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mgimwa anaendeleaje?

    Navuta picha uchaguz mdogo pale kalenga utakuwa mtifuano na itakuwa cdm vs magamba.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Aaaah!pale mafinga seminari kuna m2 alikuwa anaitwa mfalme jeta alikuwa mbabe sana alitutia vboko sana tulipoleta ubabe wa form 2 wakati huo ni senior pale,maisha yale yalileta uzalendo kama operation tokomeza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania JKT Watangaza wanaotaka kujiunga na jeshi

    Aaaaah!nafasi 9?inakera au ndo kutengeneza fedha kwa rushwa maana vjana watahonga xana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgimwa anaendeleaje?

    Mzee amekuwa saved by jesus anakunywaje bia tena watu hamna huruma
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mgimwa anaendeleaje?

    Kuna tetesi mzee hali yake haizungumziki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Ni kweli jk jr katuasa tusameheane lakn kwa mzee jumbe ni nadra kusamehewa kwani ccm hawaamin ktk serikal tatu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashindwa kufanya mkutano Kiomboi, Iramba Viongozi wakerwa na tabia yake!

    Mmmmh!Mheshimiwa tundu lissu nampenda jaman msimchafua,he is a good lawyer and understable man.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

    Nadhan huyu mzee alitaka kutumika na mwl alipokataa kuwasaliti wazanzibar akatupwa kigambon pale na mwaka huohuo katiba ikabadilishwa kipengele cha rais wa zanzbar kuwa makam wa rais ktk SMT
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

    Kwani local maana ake nini hebu nisaidiwe
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kupinga ujio wa Dk Slaa Kigoma Mjini

    Ni kweli ngoja tusubr lakn kama ni kweli cdm tunapaswa kujitazama upya na kinachoitwa maamuzi magumu.
Back
Top Bottom