Mgimwa anaendeleaje?

Mgimwa anaendeleaje?

Koffie

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
440
Reaction score
101
Jamani anayejua Hali ya waziri wa fedha inaendeleaje atujuze tafadhali.
 
Tafadhali naombeni taarifa sahihi kuhusu Mhe.huyu.
Huku mtaani kuna sintofahamu.
 
nafasi za kazi zinaongezeka au ? maana mpaka sasa zipo nafasi nne bado ya kijana wa mkulima iko hati hati. sasa nae huyu.
 
Duuh kama kapata taarifa ya wenzake wa~inne ataomba apigwe FULL CAPUUTI ili akija akute amepangiwa "WIZARA YA KUSOMA MAGAZETI" kama Mwandosya!
 
Back
Top Bottom