Tundu Lissu ashindwa kufanya mkutano Kiomboi, Iramba Viongozi wakerwa na tabia yake!

habariyamujini

JF-Expert Member
May 16, 2013
3,094
1,225
Habari zilizopatikana muda si mrefu mkutano wa Mnadhimu mkuu Mh Tundu Lissu ambao ulipangwa kufanyika Kiomboi kuanzia saa 8 mchana umeghairishwa ghafla Huku Viongozi wa wilaya wakiwa wamekasirika sana!

Tundu Lissu hataweza kufanya mkutano huo bila kutoa sababu zozote ikiwa tayari walishajiandaa kwa mkutano! Lakini Hali ya mapokeo ya mkutano huo haukuwa na mvuto kabisa!

Inaonekana Kama CDM Iramba wameshasambaratika kabisa kila mtu na lake! Mmoja wa Viongozi amekaririwa akisema hii ni Mara ya tano kwa Tundu Lissu kupanga mkutano na kuingia mitini bila hata ya sababu ya msingi" kuanzia sasa akitaka kufanya mkutano basi kibali aombe yeye mwenyewe sie tumemchoka" alisema Mwenyekiti wa Muda"

Source" ofisi ya CDM Iramba
 
The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
2,000
Atakuwa ameshtuka kwani issue ya madiwani kutaka kujua matumizi ya mfuko wa jimbo yanakwenda ingekuwa agenda kuu. Nanukuu " Sikugombea Ubunge ili niwe maskini " ! - Tundu Lissu
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
hana mvuto nani ataenda kwenye mkutano wake kakwepa aibu.
 
MTIMBICHI

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
947
225
Atakuja hapa kwa majibu ya vifungu vya sheria, hamna kitu huyu nilisema siku moja kupewa uanasheria mkuu wa chama ni kudanganywa kama mtt yani chukua pipi ee then kimyaaaaaa.
 
ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,217
1,195
Atakuwa ameshtuka kwani issue ya madiwani kutaka kujua matumizi ya mfuko wa jimbo yanakwenda ingekuwa agenda kuu. Nanukuu " Sikugombea Ubunge ili niwe maskini " ! - Tundu Lissu
elewa uzi mjinga wewe ni iramba kwa mjinga ngulu wa ugaidi kumbe mu mambulula hivi hamsomi nyie ni kutupia majbu tu kima kwel wew
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
Lini umekuwa msemaji wa CDM.

Naona mizigo imechangia mfufulizo katika post hii.

Kweli CCM ni Mizigo. Kwenye posti ya maana ya kutetea uhai wa watanzania hamchangii hata kidogo. Posti za kijinga mnakuwa wa kwanza.

Nafikiri ninyi ni watoto wa mawaziri mizigo.
 
KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,831
1,195
Habari zilizopatikana muda si mrefu mkutano wa Mnadhimu mkuu Mh Tundu Lissu ambao ulipangwa kufanyika Kiomboi kuanzia saa 8 mchana umeghairishwa ghafla Huku Viongozi wa wilaya wakiwa wamekasirika sana!

Tundu Lissu hataweza kufanya mkutano huo bila kutoa sababu zozote ikiwa tayari walishajiandaa kwa mkutano! Lakini Hali ya mapokeo ya mkutano huo haukuwa na mvuto kabisa!

Inaonekana Kama CDM Iramba wameshasambaratika kabisa kila mtu na lake! Mmoja wa Viongozi amekaririwa akisema hii ni Mara ya tano kwa Tundu Lissu kupanga mkutano na kuingia mitini bila hata ya sababu ya msingi" kuanzia sasa akitaka kufanya mkutano basi kibali aombe yeye mwenyewe sie tumemchoka" alisema Mwenyekiti wa Muda"

Source" ofisi ya CDM Iramba

mambo yetu nimesikia,nimembiwa, porojo@ level
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
elewa uzi mjinga wewe ni iramba kwa mjinga ngulu wa ugaidi kumbe mu mambulula hivi hamsomi nyie ni kutupia majbu tu kima kwel wew

Atakuwa mtoto wa mzigo mmoja wa CCM;

Kwa CCM, Baba mzigo, mama mzigo na watoto mizigo
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
lisu ni miongoni mwa wabunge wasiokuwa na faida kwa watu waliomchagua hafai msikitii wala kanisani.
 
dhahabuinang'aa

Senior Member
Aug 10, 2011
134
0
HUU NI UONGO WACHANA KWEUPE!!

Kwa habari za uhakka kutoka katika eneo la tukio ni kwamba mkutano umeahirishwa kutokana na gari la Tundu Lissu kuharibika na hivyo kushindwa kuendelea na safari ili afike Kiomboi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom