Ni kosa gani alilolifanya Aboud Jumbe kustahili 'kifungo cha maisha'?

Ni uchambuzi mzuri. Natamani vijana wengi wa enzi hizi za vyama vingi (baada ya uhuru na utawala wa Mwl) wapite hapa wajisomee mambo adimu haya.
 
Sasa kwanini Kina Seif Hamad hata kama hawampendi NYRERE kisiasa wasiseme UKWELI walionao Juu ya Nyerere? Nadhani tungekuwa na AMANI zaidi ya Sasa hivi... Vingi vya Sasa tunachukua Matatizo ya wengi na kumlundikizia CHUKI NYERERE wakati yeye alipenda UONGOZI wa USAWA wa hao VIONGOZI...

Hatujawahi kusikia SEIF SHARIFF HAMAD akimuongelea SALIM SALIM hata kidogo
 
Mkuu,
Ukiamua kumuona mtu ni mbaya, LAZIMA utamuona ni mbaya, hata afanye nini! Utajaribu kuokoteza hili na lile ili mradi tu utimize haja ya moyo wako!
 
Mkuu,
Ukiamua kumuona mtu ni mbaya, LAZIMA utamuona ni mbaya, hata afanye nini! Utajaribu kuokoteza hili na lile ili mradi tu utimize haja ya moyo wako!

Unasema Ukweli... Hasa ule wa kufundishwa utakaa kichwani Mwako hata kama wakifanya matengenezo bado chuki itakuwa pale pale...
 
Wana JF,

Mzee huyu ni mmoja wa waliowahi kuwa Maraisi wa Zanzibar na ambaye aliachia ngazi kwa kilichoitwa
"MCHAFUKO WA HALI KISIASA HUKO VISIWANI"!

Naombeni mnisaidie maswali yafuatayo juu ya Kiongozi huyu:-

(1) Ni nini status yake kwa sasa?

(2) Ni Vipi haonekani ama haalikwi (labda), kwenye matukio ya kitaifa bara na visiwani kama ilivyo kwa viongozi wengine wastaafu?
 
Kwa yaliyomkuta huyu mzee yanahuzunisha sana, nadhani wakiombeana dua mbaya na Nyerere.
 
Nadhan huyu mzee alitaka kutumika na mwl alipokataa kuwasaliti wazanzibar akatupwa kigambon pale na mwaka huohuo katiba ikabadilishwa kipengele cha rais wa zanzbar kuwa makam wa rais ktk SMT
 
Nadhan huyu mzee alitaka kutumika na mwl alipokataa kuwasaliti wazanzibar akatupwa kigambon pale na mwaka huohuo katiba ikabadilishwa kipengele cha rais wa zanzbar kuwa makam wa rais ktk SMT

Mkuu lkn I feel huyu mzee anachukiwa sana. Coz hata kama aliteleza ndio asithaminiwe hata kidogo. Juzi tumeaswa na JK TUSAMEHEANE
 
Mzee Jumbe alipendekeza muundo wa serikali tatu ili Zanzibar ipate mamlaka kamili ya ki-nchi na kutambulika kimataifa kama Taifa. Pendekezo ambalo liko kwenye rasmu ya katiba mpya ambayo itapelkwa kwenye bunge maalum la katiba hivi karibuni.
Pendekezo hili la serikali tatu lililotolewa na mzee Jumbe lilimuudhi sana J. K. Nyerere na kupelekea kumuondoa Jumbe toka kiti cha urais na kumjengea jela maalum pale Kigamboni ambapo yupo hadi kesho. Endapo rasmu hii ya katiba itapigiwa kura na kuwa katiba itakuwa ni ushindi wa kifikra kwa mzee Jumbe kuhusu serikaki tatu, na Nyerere atapata laana huko huko aliko.
 
missy1.jpg
 
Back
Top Bottom