Sisi tunaongoza kuchagua viongozi wasio waaminifu,wezi,wasio na uzalendo,Pia kujiibia Mali zetu wenyewe kama vile madini tofouti tofauti yanayopatikana hapa nchi!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Inawezekana hukawa na Pepo jini Mahaba,tena anakufanya usiwe na hamu ya kufanya mapenzi na huyo bwana yako!alafu inawezekana Pia una ugonjwa wa UTI wa kudumu pia inasababisha kutosikia hamu ya kufanya mapenzi....alafu jitahidi unapokuwa unafanya mapenzi na Mmeo concetration yako hiwepo tena...
Usikubali kuwa wakala wa uchochezi.Acha Kusambaza ujumbe wa chuki kwenye simu au mtandao wa kijamii kama facebook,twiter au blogs.Ukipata ujumbe wa chuki au uchochezi,FUTA (delete) kabisa.TCRA
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.