Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,047
- 831,647
Members only...huyo amepotea mtaa
Sio mtaa tu mpaka jina la mjumbe
Members only...huyo amepotea mtaa
ai..... Ndoto za alinacha..Huyu lazima atakuwa amewekwa kiporo kuwa mkuu wa mkoa tu!
View attachment 228453
Sio mtaa tu mpaka jina la mjumbe
Mkulu angekuwa hajajitoa tweeter ilikuwa kazi rahisi, tungemtweet hii mambo angeitupa nanyumbuuuuu
Huyu lazima atakuwa amewekwa kiporo kuwa mkuu wa mkoa tu!
View attachment 228453
Acheni utoto nyie madogo
Ndio nani tumjue?
Mpwa wapwa zako wote bado tunakupenda usiguse hapo umeshasikia jina lenyewe Gusa Unase a.k.a Hatoki Mtu Hapa!!-- lol!