Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,198
Ukiona umefungua topic hii ili ujifunze namna ya kutumia vocha za mitandao ya simu iliyotuka ujue wewe ni kati ya wanaopenda vya Bure ila sema haujijui tu.
So nimekusaidia ili ujijue kuwa unapenda vya bure. Ichunguze tena tabia yako hiyo Wenda ndiyo inayokuchelewesha kufikia mafanikio unayoyakusudia.
Weekend Njema
So nimekusaidia ili ujijue kuwa unapenda vya bure. Ichunguze tena tabia yako hiyo Wenda ndiyo inayokuchelewesha kufikia mafanikio unayoyakusudia.
Weekend Njema