Recent content by Mahassan

  1. M

    Guys nimepata mtoto wa ....

    Hongeraaaa, lakini jitahidi kumlea katika maadili mema.
  2. M

    Kim & The Boys afariki dunia

    R.I.P. Dj Kim.
  3. M

    Afunga Ndoa na Binti Yake Ili Kupata Pasipoti ya Uingereza

    Lakini hii kali miaka miwili mnakaa kwa kuzuga tu haiwezekani!!!
  4. M

    Ni Dar-es-Salaam or Dar -El-Salaam?

    Ni kweli Bujibuji hawakutaka jina lionekane la kiarabu ndio maana ikaondolewa El na kuwekwa Es na hii ilianza kabla ya miaka ya 80.
  5. M

    Pele, Ausebio n Maradona nani mkali?

    Pele ataendelea kuwa mkali wao.
  6. M

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Hapo bado hakijaeleweka, wanasema isijihusishe na makosa ya madai wakati mahakama ya Kadhi inahitajika ili ishughulikie hayo makosa ya madai ambayo waislam wenyewe wanahitaji yashughulikiwe kwa upande wao.
  7. M

    Serena let them hate all they want

    Hapa umelonga haswa.
  8. M

    TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    Poleni sana wafiwa na mashabiki wake wote, sisi sote ni waja Allah na kwake ni marejeo.
  9. M

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Duh, yani naona watu wapya tuu wanachangia ila wakati wa regular season hawaonekani, ebanae mnakuwaga wapi? Hao wote wamefurahisha soka zuri lililoonyeshwa na Barca.
  10. M

    Sophia Mayunga is no more

    Mwenyezi Mungu awape wafiwa wote moyo wa subira, sisi sote ni waja wake na kwake ni marejeo.
  11. M

    Job Vacancy

    Senator, hiyo lugha ya pili au mlio (crying) mwingine?
  12. M

    Nafasi za kazi Februari

    shy, Tembelea www.************. Unamaaniasha kitu gani? au ni typing error.
Back
Top Bottom