Guys nimepata mtoto wa ....

congrats ngomanzito. Thank God umetoka salama, maana labor ni nusu kifo.
 
moja ya watu ninaowakumbuka sana kwa kuja na jinsia mbili, hahaaaaa!!! matata kweli kweli!!!

ila mpongezeni ki-HE au ki-SHE!!
BTW FL1 ukipeleka gift pitia na yangu plz!!!

ila hakutwambia tumfanyie baby shower
 
Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana
Asanteni wale wote mtakaonipa pongezi

'Mjukuu wa nyoka ni nyoka tu:D'

Hongera sana!
 
ila hakutwambia tumfanyie baby shower

si ndo hapo sasa tena ndo ulikuwa muda mwafaka wa kumyeshea mizawadi kibao ya mtoto.

anyway Ngomanzito toa lokesheni sisi tumwagie bebi boi mizawadi
 
KWANZA Hongera SANA.

kUNA JAMBO MOJA NATAKA UJUE TANGU SASA...

Kama babu zake walikuwa na tabia zisizo nzuri, basi kwa imani yako vunja laana za mababu ili zisimfuate mtoto.

Mwombee mtoto awe na tabia njema na hekima, achana kufuatiliza mambo ya kale ya mabibi na mababu, hayatamsaidia lolote mtoto zaidi ya kumlemaza!

Tunavyoamini kisayansi ni kwamba mtoto anazaliw akiwa empty kichwani, na anaanza ku'store kile utakachomfunza wewe...sasa ni wewe against him...mlee awe unavyotaka, BASI!

Hongera Ngoma nzito kupata mtoto ni jambo muhimu sana katika maisha ya mwanaadamu.

Ushauri wangu fuata maneno aliyosema Paka Jimmy hapo juu ni ukweli mtupu!!
 
Hongera sana Ngomanzito.

Mungu akukuzie na akupe maisha marefu uwaone wajukuu zako.

Annina
 
Back
Top Bottom