Recent content by maharco

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

    Anyway msaada kupitia marcomhagama335@gmail.com kama unayo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nifundisheni namna ya kubeti

    Hivi kwa mfano yuke jamaaa wa Kenya alie shida dola 221m ambazo ni tsh 4.8 bilioni za kitanzania yeye alibeti kupitia mtandao upiii maana m-bet na meridian hawana hizo betting za hela nying
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu hii forum ya jukwa la elimu

    Mimi tangu nianze kuomba misaada ya kielimu humu ndani sijawahi kusaidiwa hata kidogo mfano kuna siku niliomba mwenyewe ana Link ya vitabu vya CPA mpaka Leo kimya na members wapo tuu pia niliomba mwenyewe ana maswali ya CPA ya kuhusu bonds kimya. Ila MTU akianzisha tuu Uzi wa kumponda kiongozi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kitabu jamani

    Naomba kitabu cha humani resources management hicho hapo jamani
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta setilite finder

    Napendelea hasa kampuni la stargold iwe inauwezo wa kusoma mg4 na mpg2 hd
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta setilite finder

    Kama hiii
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta setilite finder

  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta setilite finder

    Natafuta kifaa kinacho itwa satilie finder kwa anae uza please
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye link ya vitabu vya CPA, NBAA anisaidie

    Naomba msaada mwenyewe ana Link hizo au kama una soft copy zake msaada naomba vitabu vingi zaidi through marcomhagama335@gmail.com
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Yuko sawa Kweli?

    Yuko sahihi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

    Watu wengine bwana awape pole majitu yaliyo kaaa na kuli record tukio yenyewe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Walalamike nini wakati dar kwa sasa kaifanya iwe vizuri wewe unatokea mkoa gani wa dar hatuwezi lalamika kwasababu hakuna kibaya zaidi alicho kitenda bwana kuhusu ufaulu wake ni siri yake maana matokeo ndo maana yanaandikwa Namba na sio majina serikali inalijua hilo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Mimi mniache watu wanakimbilia ukuu wa nchi ili kujilimbikizia Mali sasa huyu jama hataki madawa ya kulevya watu kinawauma kafuta viroba watu mihemuko bac mkulu ruhusu watu walale bila kupiga kazi pengine watakuona mzuri mijitu imekaa tuu hailimi eti njaa sawa tu kufeni sisi twala
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

    Eeee huoni wanawachagulia watoto pa kuoa karne ya sasa ujinga
Back
Top Bottom