Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
28/50
80/100 ndo genius acha utaniI used to be genius on that thing...nlikuwa napata 80/100 kwenda mbl yan cshuki
Kikweli nikiwa darasa la 6 swali lililokuwa likinisumbua ni hilo la 33 mengine nilikuwa nikikosa bas kukosa umakini
Me cjawahi shuka 45 ila mara nying ilikua ni 50/50.Sasa usiombe ukakaa na mshkaji wako hajui kitu half pepa gumu daaah utasumbuliwa mpk ukome .Sijawah shuka 35 na sijawah zidi 49
36 mara mbile nying 39 to 47
Mikochen dsm
Sema mpakanleo hazina uhalisia na Marsha yang mf sijawah tumia Pythagoras theory katika maisha yakawaida wala umbo la trapeza hata yale ya umri wa watu umbea mwing hakuna kàbiasaMe cjawahi shuka 45 ila mara nying ilikua ni 50/50.Sasa usiombe ukakaa na mshkaji wako hajui kitu half pepa gumu daaah utasumbuliwa mpk ukome .
Dah! Hesabu, mathematics... Sikuwa vizuri. Kijana wangu (yupo form one kwa sasa), akitaka tugombane aje kuniuliza maswali ya hesabu, hasa hayo maumbo. Kiukweli kwa upande wangu nilikuwa napigania nisishuke chini ya hamsini tu. Ila kwenye sayansi na lugha nilihakikisha nalipa kisasi...