Recent content by magzee

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi gani unaweza kumfikisha mwanamke kileleni?

    Unawezaje kuweka mada kama hii siku ya leo we boya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kweli kabisa ungaunga....nipo hapa mabibo pia...ni lowassa tuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Message from Juma Mwapachu

    Unfortunately, it has weight and i have decided that i am going to vote for Lowassa
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Bas poa...kama unauhakika h+ ipo fasta naenda leo kurenew ntaiulizia hiyo
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Bro..hiyo ni 4g au?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Asante kwa maarifa mkuu
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Mbona in the west kuna watu wengi na spidi ya intanet ni fasta...achana hata na west....hata china...population kubwa ila intanet tres bien
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Nimechoshwa na tigo Internet
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

    Line zao zinapatikana wapi ariff?...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wengi serikalini kumpigia kura JP Magufuli

    Haupo serious kabisa ...huwezi fanya tafiti alafu unakuja mbele za watu alafu unatumia lugha kama ''asilimia kubwa ''....kuwa precise...rudi kafanye research
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    Ninacho maanisha bwana brighton ni kwamba kina vitu vya msingi mtu kama mtu unaweza kufanya...na unaiacha serikali ifanye mengine....sasa ndugu yetu asingetumia mfano wa choo, angetumia mifano mingine...ukisubiria serikali ukichimbie choo ambacho wewe unajisaidia...mtu wa namna hio anaweza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    Kwaiyo ulitaka serikali iwachimbie watu vyoo? ? . nimesikitishwa na reasoning yako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kauli za kilaghai

    Kwaiyo unataka serikali iwachimbie watu vyoo?? ...nimesukitishwa na reasoning yako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kilimo cha Pilipili

    Ninaomba mtu anayejua kuhusu hili zao anipe details zote kuhusu ili zao kama misimu capital faida challenges na kama eneo la Ruvu linafaa kwa hiki kilimo, madawa n.k kwasababu ningependa kufanya hiki kilimo.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    SALEM nd davinci demons... the best
Back
Top Bottom