Lowassa na kauli za kilaghai

Lowassa na kauli za kilaghai

El anakauli za kilaghai
Mwiz
Na wengne wanasema muua-i
 
Jamaa nilivyokuwa namuamini,aliposema tu nitamleta balali!Hapo ndo nikaamini jamaa ni bogasi
 
Jamaa nilivyokuwa namuamini,aliposema tu nitamleta balali!Hapo ndo nikaamini jamaa ni bogasi

Mimi nilikosa imani nae aliposema kwamba nyumba za nyasi zote ataweka bati ndani ya siku 45 nikajua jamaa akili haipo sawa..nyumba ya tembe uingonge bati si inashuka chini yote..
 
LOWASA NA KAULI ZA KILAGHAI:

Mgombea wa urais, Lowasa amezidi kuwahadaa Watanzania kwa kauli zake za kilaghai.Hususani anaposema,

Anachukia umasikini na huchukii rushwa sasa ataondoaje umasikini huo?

Anasema anachukia umasikini wala haoneshi kuwa na mipango yoyote ya kiuchumi na kimkakati ya kuiondoa Tanzania kwenye umasikini.

Anachukia umasikini wala haoneshi kama anawachukia marafiki zako wengi wakwepa kodi na wengi wapigaji wanajulikana kwa majina, atauondoaje huo umasikini?

Anachukia umasikini nusu ya Umri wa Maisha yake ameishi Ostabay , juzi tu ndo amepanda daladala kuigiza na ndo ameenda Mbagala ambayo sisi haya ndo maisha yetu,

Na akiwa Ostabay nusu ya marafiki zako ni matajiri tu , Siku zote ndani ya magari ya tinted majirani tajiri , marafiki tajiri anachukia umasikini vipi kama sio ulaghai.

Kama kweli anauchukia umasikini alipo kuwa kiongozi alifanya initiative gani kuiondoa Tanzania kwenye umasikini zaidi ya kushiriki, kuharibu na kuchukua hata vile vidogo ambavyo vingewasaidia watanzania.

Kama anachukia umasikini kule nyumbani Monduli pamoja na utajiri alio nao amewasaidiaje vijana? tuanze kumpima hapo kama kweli kwa sababu sharing is caring and charity begun at home, Maisha ya Monduli ni magumu kupindukia na vijana wanakimbilia Dar es Salaam wakati yeye tajiri!!! Hata kiwanda cha kusindika maziwa ameshindwa kujenga kule Monduli,kama sio ulaghai ndo ataweza kuondoa umasikini!

MTU ambaye ni sehem ya umasikini huu tena kwa kiwango cha juu kabisa anapokuja na nyimbo nzuri kama hizo muda kama huu , atazamwe kwa macho makali usoni , sura na anacho kizungumza mdomoni ni vitu viwili tofauti.

Tafakari kwa Sauti!!!!


hata ungeandika kitabu kama bibilia kumkashifu lowasa hatudanganyiiiiiiki,ni mabadiliko na lowasa na lowasa na mabadiliko.
 
Kwaiyo unataka serikali iwachimbie watu vyoo?? ...nimesukitishwa na reasoning yako
 
Wiki mbili zilizopita nilikuwa Monduli, kiukweli hali ni mbaya sana kupita maelezo yaani wananchi huduma kijamii hawana kabisa. Monduli unafuu unaletwa kidogo na huduma zitolewazo na chuo kikuu cha kijeshi cha TMA. Monduli watu hawana vyoo wanawategemea punda kula vinyesi vyao yaani kwa mmasai bora umuibie ng'ombe kuliko punda.
Tatizo la waTanzania hatuna exposure kwahiyo kudanganywa ni rahisi sana. Lowasa amekuwa mbunge wa monduli toka 1985 mpaka sasa ni miaka 30 afu mtu huyohuyo anasema CCM haijafanya chochote wakati yeye kazeekea humohumo.



Magufuli sasa.
Magufuli amekuwa mbunge wa chato kwa miaka 20 sasa lakini aliyoyafanya ni makubwa mno mpaka watu wanalalamika kuwa anakupendelea chato.
Chato kuna kila kitu barabara nzuri, maji, mpaka traffic light.
Ni ujinga kuwapambanisha lowasa na magufuli labda kwa utajiri wa ufisadi.


Asanteni

Kwaiyo ulitaka serikali iwachimbie watu vyoo? ? . nimesikitishwa na reasoning yako
 
Ninacho maanisha bwana brighton ni kwamba kina vitu vya msingi mtu kama mtu unaweza kufanya...na unaiacha serikali ifanye mengine....sasa ndugu yetu asingetumia mfano wa choo, angetumia mifano mingine...ukisubiria serikali ukichimbie choo ambacho wewe unajisaidia...mtu wa namna hio anaweza subiria serikali imsomeshe mtoto wake yeye ame relax...lets be careful how we reason and argue
 
Back
Top Bottom