Mtandao wa Smart Wamekuja Na hii, bundle za kutosha

Chief-Mkwawa kcamp . hawa halotel washanikera. Eti 800mb for 1k? This is too much. Wangeweka 800mb bila kikomo ya kupungua speed atleast wangevutia.

Hawa smart sio kwamba watu hawatamani la hasha... Tatizo ni lack of customer care na service. Ni kama ttcl tu. Vocha mpaka upande gari uende mjini. Na sijui mikoani ipoje

Smart kwa dar Ni useless ILA kwa mikoani kama upo eneo lenye coverage Yao nawarecomend sana. Hawana speed sana (around 2mbps hadi 3mbps) ILA unlimited Yao Ni ya ukweli, unatumia hadi mwezi uishe. Sh 20,000 kwa mwezi na vocha unazipata mashine za luku
 
Last edited by a moderator:
katika Internet mbovu hapa Tanzania Tigo wanaongoza...sehem chache kama uliyokuepo ndo utaona tigo wako poa.

mkuu mimi nilkua mtumiaji wa tigo kwa siku nyingi ila spidi yao haikua nzuri sasa chip yang ikavunjika nikaenda kirenew kukuwa na process nikaamua nichue ingine ambazo ni mpya zina ganda la tumefika kila kona sikuamini hiyo H+ ilivyokua inapanda tena spidi matata
 
Chief-Mkwawa kcamp . hawa halotel washanikera. Eti 800mb for 1k? This is too much. Wangeweka 800mb bila kikomo ya kupungua speed atleast wangevutia.

Hawa smart sio kwamba watu hawatamani la hasha... Tatizo ni lack of customer care na service. Ni kama ttcl tu. Vocha mpaka upande gari uende mjini. Na sijui mikoani ipoje

Wanacho na wameainisha (800mb bila kikomo speed) 800mb zikiisha speed inapungua mpaka around 320kbps
 
mkuu mimi nilkua mtumiaji wa tigo kwa siku nyingi ila spidi yao haikua nzuri sasa chip yang ikavunjika nikaenda kirenew kukuwa na process nikaamua nichue ingine ambazo ni mpya zina ganda la tumefika kila kona sikuamini hiyo H+ ilivyokua inapanda tena spidi matata

Bro..hiyo ni 4g au?
 
aisee hivi kuna mtu humu mwenye lines za mitandao yote TZ kama mimi? yani siku nkiskia ofa tu na switch fasta nakula vya bure
 
Kwanini unasema Halotel imekufa kabla haijaanza?
soko ktk sekta ya mawasiliano kwa sasa ni ngumu, hawa ma giants 3,wameshariteka ili uweze kushindana nao, lazima uje kivingine sana tena kwa kuwa na bundle za bei ya chini sana, hususani wakati unaanza, ili kuwavutia wateja, waone kweli kuna unafuu, then hata badaye ukipandisha kidogo sio mbays, sasa wewe unakuja dokoni na vifurushi vya bei kubwa kuliko hata hao uliowakuta unategemea nini? ! japo kwenye ubora nako ni muhimu, ila kwa wabongo wengi kwao unafuu kwanza ubora badaye. yuko wapi sasatel, haya smart ni kama hayupo tu, zantel kwa bara imegoma kabisa.
 
vinatumika hadi 4g? nikijiunga ijumaa hadi jumapili? kifurush naweza jiunga zaidi ya mara moja? kama wametick hivi vitu ni offer nzuri

Hapana Aisee ni 3G pekee..Na Unaweza Kujiunga Tena Kifurushi kikiisha... Ila Unapiga *149*00# unajiunga na Kifurushi cha Smart Weekend
 
Smart kwa dar Ni useless ILA kwa mikoani kama upo eneo lenye coverage Yao nawarecomend sana. Hawana speed sana (around 2mbps hadi 3mbps) ILA unlimited Yao Ni ya ukweli, unatumia hadi mwezi uishe. Sh 20,000 kwa mwezi na vocha unazipata mashine za luku

Mimi nipo mkoani. Na huku nilipo wanajua tigo tu. Kwasababu mtaa wangu una university offer..inapatikana.

Kwahiyo maxmalipo hivi vi mashine naweza kupata vocha na line au unamaanisha mashine za luku zipi. Na dar useless ki vipi.. Kwasababu itakuwa hamna watumiaji wengi kama vile zantel.
 
Wanacho na wameainisha (800mb bila kikomo speed) 800mb zikiisha speed inapungua mpaka around 320kbps

Mkuu mimi. Iyo 320kbps ni nyingi sana kwangu... Nishaathirika ki saikolojia mimi pamoja na simu yangu. Kwenye spidi ndogo hivo nishazoea.

My question is??? Je hawa halotel ni kama voda? Nikiwa na maana kuwa ... Voda baada ya 700mb spidi ina drop below normal... Ila naendelea na makamuzi mpaka muda ufike (²⁴hrs). Je hawa halotel nao baada ya 800mb nitaendelea kula makamuzi... Au zikiiisha ndo zimeisha?
 
Mimi nipo mkoani. Na huku nilipo wanajua tigo tu. Kwasababu mtaa wangu una university offer..inapatikana.

Kwahiyo maxmalipo hivi vi mashine naweza kupata vocha na line au unamaanisha mashine za luku zipi. Na dar useless ki vipi.. Kwasababu itakuwa hamna watumiaji wengi kama vile zantel.

line tafuta mwenyewe vocha ndio utapatia huko,

dar smart hawana 3g, wana 4g (ambayo ni ghali) na 2g.
 
Mkuu mimi. Iyo 320kbps ni nyingi sana kwangu... Nishaathirika ki saikolojia mimi pamoja na simu yangu. Kwenye spidi ndogo hivo nishazoea.

My question is??? Je hawa halotel ni kama voda? Nikiwa na maana kuwa ... Voda baada ya 700mb spidi ina drop below normal... Ila naendelea na makamuzi mpaka muda ufike (²⁴hrs). Je hawa halotel nao baada ya 800mb nitaendelea kula makamuzi... Au zikiiisha ndo zimeisha?
Zinaendelea kama ulichagua la Bila kikomo, ila speed ndio inapungua.
 
soko ktk sekta ya mawasiliano kwa sasa ni ngumu, hawa ma giants 3,wameshariteka ili uweze kushindana nao, lazima uje kivingine sana tena kwa kuwa na bundle za bei ya chini sana, hususani wakati unaanza, ili kuwavutia wateja, waone kweli kuna unafuu, then hata badaye ukipandisha kidogo sio mbays, sasa wewe unakuja dokoni na vifurushi vya bei kubwa kuliko hata hao uliowakuta unategemea nini? ! japo kwenye ubora nako ni muhimu, ila kwa wabongo wengi kwao unafuu kwanza ubora badaye. yuko wapi sasatel, haya smart ni kama hayupo tu, zantel kwa bara imegoma kabisa.

ushajiuliza kwanini bei imekua ghali?? unafikir wao hawajui kwamba walitakiwa kuanza na bei nzuri ili kuvutuia watu?
Think big broh.
 
Back
Top Bottom