Recent content by maguzumunda

  1. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya miaka 16 ipo hatarini kuvunjika kisa mtoto wa nje

    Wanaume wa kinondoni hao.
  2. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Jifunze kupunguza gharama za malisho ya mifugo

    Kwa sie tunaofuga nguruwe tunaweza kupata unafuu wa chakula pia?
  3. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Kuhusu historia ya mwamba Kunta Kinte

    I'm kunta kinte The son of Mandingo warrior.
  4. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Mkuu hata mwigulu anajua ki-english lakini upeo wake n hamna kitu.....sio wote wenye upeo mkubwa wanajua ki-english and vice versa.
  5. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Ukisikia kila changamoto ina fursa zake ndio hii mkuu.....kazi iendelee.
  6. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, haya Mambo ya kuongelea Mataifa ya Nje bila kujipanga sio poa kabisa, yatatugharimu!

    Mzee keshaongea toka kitambo tu..
  7. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Bro hii zaidi ya zote...
  8. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mawe kwenye figo (kidney stones)

    nnafkri ultrasound n njia nyepesi zaidi ya kugundua hizo renal stones (Bilaterally or unilaterally Nephrolithiasis)
  9. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukanwa? (Kisa cha kweli)

    Kuna jamaa angu mmoja (kwa sasa ameshatoboa lakini) alikuwa n jamaa angu ile kinoma noma wakat bado tuko kwenye msoto wa maisha...ila ilikuja tokea ye akaenda mkoa mwingine kwa ndugu zake ambako ndo alipopata rehema za MUNGU na kutusua kimaisha.......sasa baada ya kama miaka 4 hivi tukiwa...
  10. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Mnazidi kusaidia kutimiza ndoto zangu za kuoa mzungu........ shukrani sana.
  11. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Demu unatakiwa kuwa mshamba kiaina

    Hahahahhaaaaaa......hapo kwenye kasimpasa ndo atatisha zaidiii!!! Demu atakuwa ni mzee wa mikeka!!!
  12. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Op miaka 50 ya jkt.......824kj kanembwa ya demo...........ego coy pale......kulikuwa na private mmoja anaitwa magesa (R.I.P) hatari saaana....mwendo n wa kuchomeka.......uelekeo American village...........muda wa kwata uso kwa uso na dakanyama(R.I.P) hilo kwata la hatariiii.........tano la...
  13. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu tu!!

    Duuuuh!!! Hapo lazima uelewe aisee!!
  14. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Ili Tanzania iwe nchi ya viwanda nini kinahitajika?

    Wangefanya tu vitu vingine vya maaana.......mambo ya mapinduzi ya viwanda yalishapita toka karne ya 18!! Leo ni karne ya 21!! Now kidooogo wangewekeza kwenye teknolojia kidoogo tungeweza kusogea........mfano ni rwanda wanajaribu hilo.
  15. maguzumunda

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Kukumbushana Picha za Zamani

    Duuuuuh!!! Huyo jamaa na mambo yake yooote kumbe alikuwa na sura ya kizembe hivyo.....
Back
Top Bottom