SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 826
- 1,707
Sasa kila mmoja akiwa na mentality hii si mtabaki mkitoleana mimacho tu.bado ni shobo subiri akuanze yeye☻
Sasa kila mmoja akiwa na mentality hii si mtabaki mkitoleana mimacho tu.bado ni shobo subiri akuanze yeye☻
Mambo ya moods sijui nini hua ni mambo ya mademu hayo.Tatizo sio pesa..ni moods..ila issue za muhimbili sidhani kama mfano wako ni valid ..kwani kusalimi na kumpa MTU faraja mwenye uhitaji vina uhusiano gani?
Hii mara nyingi huwa wanaifanya madada, yaani unaweza usiamini. Washikaji huwa ni wachache. Hapa pia kuna kufananisha watu, mtu anakufananisha na anakukomalia kiwa ndio wewe lakini unamringia hivyo inabidi umuelezee mtu vizuri na akiwa hakuelewi au umemfananisha basi muachane salama, binafsi iliwahi nikuta nipo kwenye bus kubwa tumesimama mara dada mmoja akanigusa nikamsalimia akaonesha kunichangamkia lakini mimi sikumtambua kwa kipindi hicho, akaniuliza unanikumbuka nikamwambia hapana naomba unikumbushe, ajabu akakasirika akapanic kabisa eti kama hunikumbuki basi, nikajaribu kumsihi lakini wapi Dada hataki kabisa, nikaona isiwe tabu nikatemana nae, muda mwingine mtu unapitia mambo mengi so unatakiwa umboost kidogo mtu ili akumbuke ukiona bado na umefikia mwisho wako wa kujieleza achana nae.
Sasa naelewa kwanini ulikanwa. Panzi wa kusini we
kumbe kuna panzi wa kusini humuNa wewe si ndio walewale washamba wa dar es salaam, hivi watu wa dar mna matatizo gani hahahIlikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..
Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!
Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..
Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!
Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
Wamepitiwa na upepo wa muheshimiwa spika, ndio maana wanakuwa na roho ya rejection kama jamaa anavyomnawa TLHivi hawa jamaa wenye sifa kwann wanapatikana pande hizo pekee??
Huyo mzee wako anatafuta laana ya watoto, atakuja kukutafuta, count down years, anazeeka, na atakuja kujua thamani yako, pole sana mkuuMzee aliachana na bi mkubwa mi bado janki kabisa kwa hiyo yeye ana kwake na bi mkubwa ana kwake minakaa na bi mkubwa
Baada ya siku hiyo nilienda nikauza kuku wangu nilikuwa nao kama 6 hivi nikasolve hilo tatizo skuli
Nilikaa kama miaka miwili hivi bila kuonana nae japo kwake ni kama km1 tu kutoka home
Kwa sababu yeye tangu nna akili sijawahi kumuona kaja nyumbani
Unawza kudhani labda kweli sio baba yangu
Lakini nna uhakika ni mzee wangu coz tunafanana sana sura
Kuna mambo mengi sana ila katika watu ambao siwakubali ni huyu mzee
Kuna Dada mmoja tulisoma nae chuo nilikua namgegeda bhana, tukaja kuzinguana. Mpaka tunamaliza chuo hatusemeshani, nikaja kukutana nae Regency Hospital Pale Pharmacy... nikamsalimia akauchuna bado... Nikatamka kwa Nguvu kaka nimeijia ARV, zile nyingine zimeisha... watu wakipungua nipigie....Macho yalimtoka kama Kobe... niliona nimchanganye, hawezi niletea ujinga mm... nikaondoka
hii kali mkuuAse Kumbe Ndivo Ulivyo. DaahIlikua mwaka Jana mwishoni mwishoni niko zangu kwenye starehe maeneo ya Arusha Heineken zakupendeza..kulikua na ziara ya Mh fulani hivi...nikaamua nikale bata hukooo USA River sikutaka kuonana na mtu yoyote ..
Nikawa na dereva na mwanangu flani ..ile naingia club Njeree naona jamaa anansanukia..we si fulani tumesoma Feza mwaka fulani..nilimnawa live! kata kata nikamchomloea tena in a harsh way..tulipo chill wenzangu wakanambia humjui yule..nikawaambia namfaham sana sema sikua na ratiba ya kuonana na mtu ndio maana tuko hapa!
Wakati tunatoka dereva alimfuata kumuomba radhi na akamthinitishia ndiye mm..
Sipendi kushobokewa hasa nikiwa kwenye moods zangu..unakutana na jitu linakenuaa weee salamu nusu saa..my brother huo muda sina!
Ukinivamia hovyo hovyo nakunawa tu! nshamkana mpaka dada yangu mahala na uso mkavu...hawa washkaj school mates ndio kabisaa..au najifanya sikukumbuki usinipotezee muda wangu ..
hahaaaayap mwaka 2009 ndo ilikuwa mwanzo mwanzo chief, yule panzi mwenzako alikataa hanifahamu kabisa