Recent content by Magotichuma

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu uzi ndio the most useless kwa JF yote. Mimi ni Mkenya na napendaga sana nyuzi za humu, lakini huu wa Dar vs Nrb huwa unanuidhi. Hauna maana. Unawapa wendawazimu kutoka nchi zote mbili platform ya kueneza chuki ya kijinga. Itakuwa bora admin wa huku aufunge. Delete permanently!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya msingi ya Diaspora wa Kenya kuwa na haki tofauti na wa Tanzania!

    1. Umefanya kosa kubwa sana kuingiza Kenya kwa haya maneno. Ni uchungu kuona ukieneza chuki na uhasama kwa Wakenya ambapo hawahusiki. Naona kama wewe ni wale wenye chuki kwa Wakenya zisizo na misingi Kenya haihusiki kamwe kwa haya maneno. 2. Kuna kitu cha mzingi sana naomba nikuelimishe...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtetezi wa Kundi la LGBTQ auawa

    Mwenye kumuua ni shoga mwenzake walikuwa wakiishi pamoja.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bana wewe msee uko na akili mzuri? Inakuja kujibizana na WaTz kwa website yao. Mko na ujinga sana. Uko na miaka ngapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Penalty tatu aje kwa game Moja. Fifa iwache ujinga.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Tumekubali. Majibizano iishe sasa. Ukweli ni kuwa Kenya tuko nyuma katika mambo mengi. Kama hujawahi elewa Wakenya na watu wa kujigamba. Ni mdomo tu.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    We nawe acha ujinga! Mumezidi na majibizano yasiyokuwa na maana. Mbona mnapenda kuchokoza waTZ?
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu uzi naona ufungwe. Matusi tupu. Hakuna mtu anasaidika. Ukweli ni kuwa Kenya, Tz na Africa nzima ni nchi maskini. Lakini kama vile geto kunao wanaopenda kujigamba. Truth is that, compared to developed countries, all of Africa is just poverty and misery.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Malengo Yako ni yepi? Mimi ni Mkristo na bado unaskuma ti kasumba zako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Nakuunga mkono. Huyu jamaa ni hatari sana. Naona atolewe. Nyuzi zake zote lazima atie watu chuki. Na pia nimeona yeye Kila mara nyuzi zake zinasukuma propaganda humu. Mimi ni Mkristo na nimihisi uchungu sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Khe! Na hakika wewe kweli ni propagandist mwenye roho chafu na nia mbaya. Wewe mtu mmbaya na hatari sana. Yani mpaka unataka kutia watu chuki humu na kuwagawanya kwa sababu ya propaganda za Marekani. Mbona umeingiza dini? Mwanzo Mimi ni Mkristo. Na imeniuma sana kuona unataka kuwachafulia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

    Hakuna uhalifu. Huyu jamaa MK254 Huwa agent wa Marekani. Kazi yake kusukuma propaganda ya Marekani humu. Hebu angalia post zake kwa maakini.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ngeli sahihi ya vifaranga ni ipi?

    Nawasalim nyote. Pokeeni Salam. Naona vyema tuwe na uzi mmoja maalum wa ngeli. Naomba usaidizi wa ngeli sahihi ya maneno haya. Kifaranga/Vifaranga - ( naona watu wengi hutumia ki-vi ambapo wengine utumia a-wa)
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Bongo mtu anayeishi single room anatumia token za pesa ngapi kwa mwezi🤔? Mimi natoka nchi jirani na natumia token za karibu tsh 3,800 Kila mwezi.
Back
Top Bottom