Recent content by Magidu

  1. Magidu

    Mkuu wa Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda jitafakari kama kiti kinakutosha

    Walimu wana matatizo ila ukweli mchungu nikwamba staff za shule za secondary zina majungu na ujuaji kuliko zile za msingi
  2. Magidu

    Swali fikirishi: Kama jina Israel limetoka kwenye vitabu vya dini, ina maana hii migogoro ni ya kidini zaidi?

    Heshima kwenu, Katika kitabu cha Biblia, Mwanzo35:10"Mungu akamwambia, jina lako ni Yakobo; hutaitwa tena Yakobo lakini Israeli litakuwa jina lako.Akamwita jina lake Israel". Naomba kueleweshwa hapa, inamaana hili jina Israel limetokana na biblia(vitabu vingine sijajua)ama hakuna uhusiano...
  3. Magidu

    Mapigano kati ya Israel na Palestina yalianza tangu enzi za vita kati ya Mfalme Daud Muisrael na Goliati Mfilisti (Mpalestina)

    Kama nitakuwa sahihi,wana wa Israel hawakwenda utumwani Misri Bali utumwa uliwakuta wakiwa misri.Kuna sababu nyingi za wao kufanywa watumwa pale misri ila kubwa nikutokana na mfalme aliyekuwa anamfahamu Yusuph kufariki. Nina swali; Ikiwa Mungu aliahidi kuwapeleka waisrael kanani(ambapo kweli...
  4. Magidu

    Wana CCM waliomudu nafasi ya Katibu Mwenezi Taifa ni Polepole na Shaka

    Polepole aliweza ila kwa mtazamo wangu Makonda anaenda kuweza zaidi hyo nafas
  5. Magidu

    Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Bado sijapata mwalimu wa primary wakuja Singida DC niende Same DC. Mwingine wakuja Mwanga K/njaro niende Singida DC(Hii ni kwa niaba).
  6. Magidu

    Natafuta kazi ya ualimu na muziki

    Salamu wakuu... Mimi nikijana mwenye umri wa miaka26.Naomba nafasi ya ualimu katika shule yoyote ya binafsi(Primary au Secondary). Nina diploma ya ualimu katika masomo ya Kiingereza na Kiswahili. Pia Nina utaalamu wa kufundisha na kupiga vyombo vya muziki(kinanda, tarumbeta na gitaa)...
  7. Magidu

    Katika Wanawake wengi niliokutana nao, wanaotumia mkono wa kushoto, wengi wao wanatoka mkoa wa Kilimanjaro. Kuna uhusiano gani?

    Nje ya mada: Kuna wanandoa jirani yangu wote wawili wanatumia mashoto. Hii kitaalamu imekaaje
  8. Magidu

    Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Wamehama wengi waliolelewa na vyama vyao, hana kosa. Ninachojiuliza kumbe mbio za 2025 zishaanza tayari? Naona bado muda upo kwa yeyote anayehis wananchi wake wamemchoka, arekebishe hali kwa kutekeleza aliyoahidi
  9. Magidu

    AI (akili bandia) haiwezi kuchukua nafasi ya utashi wa binadamu

    Wanafunzi wavyuo kwasasa kufikiri kunaenda kupungua kama sio kuisha kabisa. Amini nawaambia wanachuo 7kati ya10 wanatumia hizi AI kufanya assignments za nje ya darasa
  10. Magidu

    Ijue Hadhi ya Ubalozi, its Rights & Privileges. Wajua Kufutwa Ubalozi Dr. Slaa Hakutokani na Ukosoaji wa Bandari na Anaweza Kurejeshewa Ubalozi Wake?

    Mwili usio na Kinga ni uchochoro wa maradhi. Mwili utashambuliwa na kila aina ya magonjwa mwisho kifo. Kumbe balozi anakinga ya kutoshtakiwa kwa makosa ya jinai(bila shaka hata ya madai)!. Kama Kinga imeondolewa tutarajie yaleyale kama ya ukosefubwa kinga za mwili.
  11. Magidu

    Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

    Huku kiongozi mtiifu wa serikali, huku muumini mwaminifu wa kanisa. Jumapili unasomewa tamko kanisani na unalielewa vizuri, juma3 inabid ukemee wanaopinga mkataba ukiwa upande wa serikali. Kazi mnayo viongoz wa chama na serikali mnaowajibika kiroho kwa ma baba askofu
  12. Magidu

    Mwathirika na Mhanga

    Kumbe ni makosa kusema mhanga/ wahanga wa ajali.....
  13. Magidu

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakubadilishana nae aje Singida DC nije Same elimu msingi. Pia wakubadilishana aje Mwanga K/njaro niende Wilaya ya Hanang idara ni elimu msingi(Kwa niaba)
  14. Magidu

    Aliyevaa pempers Simba day amesema ana haki kufanya sanaa

    Sijui baadhi ya watanzania wanapewa ajira kwa kuangalia vigezo gan. Kwamb hao wasomu wakuitwa watetez wahaki za binadam hawajui kuw kitendo cha kushabikiahilo tukio nakuliita udhalilishaj wao ndo wanafany ubaguzi? Kwamb kwa sheria zetu kuna kazi halali ambazo weny ulemavu flan wakitak kufany kw...
Back
Top Bottom